Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Oyoooooooooooo kama mimiiiiiiii ivyo ivyoo....
Hukumpa domo jamani😕

Thubutuuuuu, yaani hata ningekosea walah ningeidaka hewani,
Alafu yeye anasubiri za kiintaneshino mwenzangu, ngoja tusubirie za BET nitampigia kura, teh teh teh
 
Ni kweli kabisa wamejawa na chuki hata penye ukweli huwa hawaoni. Huyo ni mtu ninayemheshimu na unaweza kujadiliana naye bila mihemuko.

Unadhani angeshinda ndomo yangewatoka hayo? Akuuu huyo ni mfa maji
 
Thubutuuuuu, yaani hata ningekosea walah ningeidaka hewani,
Alafu yeye anasubiri za kiintaneshino mwenzangu, ngoja tusubirie za BET nitampigia kura, teh teh teh

leo ni shidaaaaa....!!!!!
 
Mamy ulikuwa wapi jana wenzio tumechamba mtu...tumekubakizia na wew nenda kule Congrats complain na advice uonee

Hajaaaa ja jaaa!
Nilikua safarin.....yani usiku nlivopita hapa kimya kimya niligubikwa na burdan rohoniii
 
Kwaiyo n ww umeamini diamond katoa elfu 10 kwa boda boda haaaaah

We mr appohoo kila siku ni junior member tu??!!

Hao bodaboda kila sehemu wapo, kwenye mikutano ya chadema hayaaaa....CCM hayaaaa.....CUF hayaaaaaa.....ACT hayaaaaa.....TLP hayaaaaaa duh hiyo ndo sign yenu ya kusema kuwa mnapendwa zaidi?? Kazi mnayo
 
We mr appohoo kila siku ni senior member tu??!!

Hao bodaboda kila sehemu wapo, kwenye mikutano ya chadema hayaaaa....CCM hayaaaa.....CUF hayaaaaaa.....ACT hayaaaaa.....TLP hayaaaaaa duh hiyo ndo sign yenu ya kusema kuwa mnapendwa zaidi?? Kazi mnayo

misss uuuuuu mmmwaaaahhhhhh
 
Shida tupu na huko instagram ndiko balaa lilipo.
Hivi jamani bibie boss lady kanuna nini? Mbona hajapost chochote?
Au kisa bibie wa UK?
Halooooooo!

Kanuna mda tu atajibeba naye loh aondoe stress tu kwasababu ana mimba. Yani kuna fukuto huko.
 
We mr appohoo kila siku ni junior member tu??!!

Hao bodaboda kila sehemu wapo, kwenye mikutano ya chadema hayaaaa....CCM hayaaaa.....CUF hayaaaaaa.....ACT hayaaaaa.....TLP hayaaaaaa duh hiyo ndo sign yenu ya kusema kuwa mnapendwa zaidi?? Kazi mnayo

Waache wenzio wajifariji jamani japo kidogo tu mama, unataka wajifungie kwenye thermose!!!
 
we mr appohoo kila siku ni junior member tu??!!

Hao bodaboda kila sehemu wapo, kwenye mikutano ya chadema hayaaaa....ccm hayaaaa.....cuf hayaaaaaa.....act hayaaaaa.....tlp hayaaaaaa duh hiyo ndo sign yenu ya kusema kuwa mnapendwa zaidi?? Kazi mnayo

hahahahhahahahaaa!
 
mmeo lemutuz leo kanuna hatarii
na anataka kuvuruga ktma

Hahahahaaa shoga taratibu usinivunjie ndoa yangu mimi sababu ya lile tutusa!
Nimemuona huko instagram nakasirikaje? Natamani kumtukana lakini naogopa ataniblock halafu nikose huo ubuyu anaotaka kuusema.
 
Mbona kiba alikodisha watu kumzomea diamond fiesta n kwny TIGO music concert walikuwepo walivyo anza kuzomea wakawa wanarushiwa elfu 2 n diamond mashabiki wa kiba wakanza kumshangilia diamond mnajaa sn km msanii wenu kiba

Heheheeeeee mbona kibao mnamgeuzia Kiba??!!
Masela wa Kino hawakuwageuka nyie?? Thubutuuuu

Yaani palipo na Kiba jamaa yenu hatambi!
 
Back
Top Bottom