Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Sound check
 

Attachments

  • 1432405477790.jpg
    1432405477790.jpg
    33 KB · Views: 85
Kibaaa Kibaaa Kibaaa Kibaaaa!!!
Kiba ndio chaguo letu watanzania, kama unabisha mpigie kura uone!!
 
Nasubiri collabo ya p square n diamond aiseee noma sn diamond anavaa kiatu cha yeezy ambacho kwa Ali kiba n bajeti ya mwezi kulisha familia yke n chenchi ina baki

Yess alikiba anavaa kiatu cha mchaga au cha mwenge! Kuna tatizo kwani jamani,. What matters is his happyness. Unaweza kuvaa brand zote but deepdown ur so low! Ninachowashangaa nyie timu mondi ni kuwa mnasema domo saizi zake ni psquare and other international artists, sasa kwa nini mnahangaika Sana na huyu kiba?? Tuachieni kiba wetu jamani msihangaike naye nyie level zenu ni BET
 
sasa we jamaa ni shabiki wa mondi huku unafuata nini, uzi wenu si upo au vp?

Hahahahaha, huyo ni NAZI yetu hapa wala asikupe shida.
Wenzio tumeshamzoea tumebaki tunajichekea tu.
Sometimes anatia huruma maana uzi wao umekufa na anahitaji watu wa kushare nae vitu anakosa inabidi ajipendekeze huku.
Na hapo anatumia fake ID Ila tunamjua vizuri tu.
 
Yess alikiba anavaa kiatu cha mchaga au cha mwenge! Kuna tatizo kwani jamani,. What matters is his happyness. Unaweza kuvaa brand zote but deepdown ur so low! Ninachowashangaa nyie timu mondi ni kuwa mnasema domo saizi zake ni psquare and other international artists, sasa kwa nini mnahangaika Sana na huyu kiba?? Tuachieni kiba wetu jamani msihangaike naye nyie level zenu ni BET

Hafu team yake kipindi kile cha white party walisema hawapigi show za elfu kumi. Mbona Leo kwenye show kiingilio kilikua elfu tano jamani. Ina maana kasahau alivotoka. Mashabiki wake ndo wana muharibia akikosa tuzo anaanza kulia lia anaonewa.
 
Kedrick unamuumizi roho yule dada mchawi hapa jamvini.

Nyie ndo muumie aisee midume mizima mnaojifanya international kuhangaika na msanii local. Tuzo mmekosa na bado. Ku post kwenye Uzi wake inaonyesha mnaumia Mpaka vibamia.
Na MNA post kujifariji nendeni kwenye Uzi wake huku mnajisumbua wanaume gani msio jiamini. Kuja kulia lia kwenye Uzi wa mwanaume mwenzenu acheni udhaifu jikazeni utafikiri mumetelekezwa. Wanaume wengine buaaaana isingekua chululu mngekua mna chuchumaaaa ebooooo.
 
Hafu team yake kipindi kile cha white party hawapigi show za elfu kumi. Mbona Leo kwenye show kiingilio kilikua elfu tano jamani. Ina maana kasahau alivotoka. Mashabiki wake ndo wana muharibia akikosa tuzo anaanza kulia lia anaonewa.

Hahahahahahaa uwiiiiiii! Asante kwa kunikumbusha nilitaka kusema hili nikasahau.
Ooh Kiba show zake za buku 10, vipi leo Le Billionaire anaenda kupiga show ya elfu 5?
Mwanamuziki wa kimataifa jamani aibu gani hii?
 
ROMBO GREE VIEW SINZA wamewapiga marufuku mabint wa mapokezi kutumia internet ya ofisi kwenye mambo yasiyohusu biashara.

Bint naona kaweka post nyingi ndani ya hili saa bila shaka anatumia simu.

Nimemkubali anamapenzi ya dhati kwa Ali maana pamoja na vikwazo vya ofisi bado anakesha humu.
 
Back
Top Bottom