Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
unapiga kura lkn tuzo za watu kwa king?
kwenye msg kwangu zinagoma
nielekeze kwenye mtandao
unapiga kura lkn tuzo za watu kwa king?
best nipo minejamaniiiii,leo nimekukumbuka nikasema nitakuulizia na wewe umekuja!
best nipo mine
Ok dear, nilikumiss tu maana umepotea ghafla.
Huko kupiga kura leo wanazingua tumejaribu mimi na Diva Beyonce tumeshindwa.
Labda watakua wameshafunga wanahesabu sasa.Nitajaribu kufuatilia pakiwa fresh nitawacheki.
Oooooh ndio maana! Nimeingia ikanizinguaaa
Yeah, mimi nimejaribu kama mara 5 jamani nakasirikaje?
Msisahau kesho ndio Kill Music wanafungulia mbwa (kupiga kura)
Oyoooooo King lazima abebe tuzo kwa support yetu guys.
Kiba, mwanamuziki bora namba mbili nchini ni mahiri. Wimbo wake wa mwana ambao ni kilele cha mafanikio yake ni wimbo wenye maneno mazito yaliyojaa hekima.
Tatizo nyota tu na kutopenda pesa, anaridhika haraka na sifa za wana jf ambao si wanunuzi wa kazi za wasanii.
Kiba amebugi tu kwa kutoa video dhaifu sana ya mwana, lakini ni mwanamziki bora na ninamkubali kwa dhati kuwa ni namba mbili.
Hongera Kiba, vivaa

kumbe ali kiba anakutisha na kukupunguzia chochote kitu! Pole na uchovu wote alionao!
halafu utakuta kahaba mbovu kama wewe bwana wako ni dereva wa bodaboda halafu unaleta mashauzi eti kiba mchovu!! Je kibwana chako kinachokugonga kinampata kwa lolote kiba?
Jamani ile website ya tuzo za watu iko poa sasa tunaweza kuendelea kupiga kura kama kawaida. atoto geniveros Diva Beyonce Avemaria Daudi Mchambuzi
www.tuzozawatu.com
Ingieni hapo kwa urahisi.
Hureeeee kaz imeanza
Kiba, mwanamuziki bora namba mbili nchini ni mahiri. Wimbo wake wa mwana ambao ni kilele cha mafanikio yake ni wimbo wenye maneno mazito yaliyojaa hekima.
Tatizo nyota tu na kutopenda pesa, anaridhika haraka na sifa za wana jf ambao si wanunuzi wa kazi za wasanii.
Kiba amebugi tu kwa kutoa video dhaifu sana ya mwana, lakini ni mwanamziki bora na ninamkubali kwa dhati kuwa ni namba mbili.
Hongera Kiba, vivaa
Karibuni wadau tuanze kupiga kura Abou Saydou atoto cute b geniveros Avemaria Diva Beyonce Daudi Mchambuzi MosDef unanitaka lukelo sakafu Matola Mdakuzi Ms.Lincoln hyusuph