Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

subiria siku akishuka nchini ndo umpe ushauri... at this tym endelea kupiga majungu na huyo mvaa moka wenu...

yaani tuzo za watu tu mmejaza mavi kwenye chupi.. hivi mngechukua hata moja ya channel O je ?

Ushauri anaupata sana, mashabiki boflo kama wewe, ndo mnayempoteza domo. Mbona nyinyi TUZO ZA WATU HIZI NDO zinawafanya mpige vijembe na kukodisha bodaboda mwanza???? hahahhahaha acheni tusherehekee ushindi bana nyie subirini BET, ooohhhh nilisahau kumbe hata hiyo hammo???? Hahaaaaaaaaa haaaaaaw
 
Nyie endeleeni kukodisha bodaboda wakati sisi tunachekecha hahahahhaha rahaaaaaaaaaa jamani rahaaaaa kupendwaaaaa

Umejuajeee kuna rafiki zangu wapo kule ni madereva toyo ameniambia walikodishwa na walilipwaa sijui elfu kumi kumi....
 
Umejuajeee kuna rafiki zangu wapo kule ni madereva toyo ameniambia walikodishwa na walilipwaa sijui elfu kumi kumi....

Et walilipwa elfu 10 wote wale basi diamond ana ela embu hesabu bodaboda Zilikuwa ngapi n wale wapita njia
 
Et walilipwa elfu 10 wote wale basi diamond ana ela embu hesabu bodaboda Zilikuwa ngapi n wale wapita njia

Wapi tuzooooo? Kwenda uko kwanza hamna mwenye muda wa kukujibu....kajibiwa na ndugu zako
 
Umejuajeee kuna rafiki zangu wapo kule ni madereva toyo ameniambia walikodishwa na walilipwaa sijui elfu kumi kumi....

Aiseee diamond ana ela embu pigeni hesabu kalipa elfu 10 kwa boda boda hao aiseee nyie cjui account ya kibwa inasoma tshs ngapi
 
Nyie endeleeni kukodisha bodaboda wakati sisi tunachekecha hahahahhaha rahaaaaaaaaaa jamani rahaaaaa kupendwaaaaa

Ela ya video tu imewashida haaah so hao wote walikodishwa
 
Attachments

  • 1432370583178.jpg
    1432370583178.jpg
    57.2 KB · Views: 102
Aiseee diamond ana ela embu pigeni hesabu kalipa elfu 10 kwa boda boda hao aiseee nyie cjui account ya kibwa inasoma tshs ngapi

Sasa unazani kukodisha watu ni sifa? Maana yake hana mashabiki ndo maana anawanunua...
 
Kwaiyo n ww umeamini diamond katoa elfu 10 kwa boda boda haaaaah

Mbona kiba alikodisha watu kumzomea diamond fiesta n kwny TIGO music concert walikuwepo walivyo anza kuzomea wakawa wanarushiwa elfu 2 n diamond mashabiki wa kiba wakanza kumshangilia diamond mnajaa sn km msanii wenu kiba
 
Hebu wapotezee kujibishana nao ndo wanavimba kichwa. Kuna watu waelewa kama Rutta ndo unaweza Ku argue naye hao wengine ujinga unawasumbua tu. Achana nao kabisa hawajui maana ya haya majukwaa.

Kabisaaa hao wapuuzi unawapotezea tu, mtani wangu pekee ndio anajitambua mle.
 
Back
Top Bottom