Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,411
- 82,334
Kumbe hujapata huo ubuyu eeee....ngoja nika cupture kule insta
Shoga Le boss lady ameshapost kiserengeti chake.Naona kajikaza kiutu uzima tu no way....
Kumbe hujapata huo ubuyu eeee....ngoja nika cupture kule insta
Shoga Le boss lady ameshapost kiserengeti chake.Naona kajikaza kiutu uzima tu no way....
Ndie huyohuyo shoga! Hatariiii japo bado mambo hayathibitika...
Naona domo kachoka wasichana kahamia kwa wamama maana nasikia huyu nae ana watoto watatu!
Angekua Kiba mbona tungekoma?
Shoga Le boss lady ameshapost kiserengeti chake.Naona kajikaza kiutu uzima tu no way....
Yule yule au. Inabidi maumivu yakizidi wamuone daktari.
Oyaaaaaaa mnakumbuka kupiga kura lakini???!!!
Ali Kiba yoooo
Code si ndo hizi hizi au zimebadilika??Now nipo home place ni mwendo wa kuvote tu!!
Ngoja nami nivote japo kwa Mara ya kwanza c nkutuma code # tu mfano DA4 au kuna herufi zngne zinaanza?
Walahi Le mutuz kanitia hasira sana, ngoja nichukue na simu za majirani nikapige kura za kufa mtu.
Nyota mwisho kwa waganga wa kienyeji, mjini wote Chekecha Mwana"
Ushauri anaupata sana, mashabiki boflo kama wewe, ndo mnayempoteza domo. Mbona nyinyi TUZO ZA WATU HIZI NDO zinawafanya mpige vijembe na kukodisha bodaboda mwanza???? hahahhahaha acheni tusherehekee ushindi bana nyie subirini BET, ooohhhh nilisahau kumbe hata hiyo hammo???? Hahaaaaaaaaa haaaaaaw
Tayari mkuu nshapiga kama unavyoona hapo
Hajakutia hasira kuliko mimi.Ngoja titamuonesha nguvu ya Umma...
garbage
Utajibeba.
garbage
Nasubiri collabo ya p square n diamond aiseee noma sn diamond anavaa kiatu cha yeezy ambacho kwa Ali kiba n bajeti ya mwezi kulisha familia yke n chenchi ina baki