Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
BRN mpenzi nimepewa adv na form 3 kufundisha we acha tuuu
Safi sana naoukubali mwanawane wapige mapindi ya hatari sana hao wafaulu. Nawapenda na kuwaheshimu nyio mnaowafundisha watu.
BRN mpenzi nimepewa adv na form 3 kufundisha we acha tuuu
Kanuna mda tu atajibeba naye loh aondoe stress tu kwasababu ana mimba. Yani kuna fukuto huko.
Shida tupu na huko instagram ndiko balaa lilipo.
Hivi jamani bibie boss lady kanuna nini? Mbona hajapost chochote?
Au kisa bibie wa UK?
Halooooooo!
hahahahhahahahaaa!
Ha ha ha ha ha chezea mutoto muzuri kutoka Zenji aliyeko UK wewe?
Jamani wanawake tujifunze kutokana na hili la Zari.Hii tabia ya kuparamia wanaume tusiowajua na kuanza show off na vijembe vya hatari tuache.
Ona sasa kama ni kweli Zari anaadhirika vipi? Na mimba akajibebesha kumkomesha wema, ataiweka wapi hii aibu?
Atulie tu na kukubali kua kuchapiwa ni siri ya ndani kama alivyokoma mashauzi maana huko insta yuko kimya kama sio yeye.
Mwanaume/mwanamke aliyetoka kubreack up na mpenzi wake anakua hana mapenzi ya dhati bali kulipiza kisasi.Na wale wote wanatumiana kulipa visasi....hapo sasa!
hahahahaaa shoga taratibu usinivunjie ndoa yangu mimi sababu ya lile tutusa!
Nimemuona huko instagram nakasirikaje? Natamani kumtukana lakini naogopa ataniblock halafu nikose huo ubuyu anaotaka kuusema.
Smile you don't own all the problems in the world! :cheer2::cheer2:
Umepita Pm...picha ya DC akimla mtu mtungo imewekwa, wahi kabla haijafutwa....kulekule Insta
BRN mpenzi nimepewa adv na form 3 kufundisha we acha tuuu
Na watakua hawajifunzi mana wanataka kiki za mjini. Kijana bado mbichi huyo kwanini atulie na bibi inabidi tu awapange kuoa pale atasubiri sana. Kijana anakula ujana amvumilie tu.
Yani alidandia treni kwa mbele akajua amefika na kujimilikisha eeh. Pole zake nyingi asinune avumilie mana kijana alikua ana mu revenge ex wake.
Waache wenzio wajifariji jamani japo kidogo tu mama, unataka wajifungie kwenye thermose!!!
Unakumbuka kuna jamaa aliweka uzi huku akisema kua Zari atajuta kuzaa na domo? Watokwa povu walimnanga sana.Haya sasa mambo yameanza mapemaaaa....
Unakumbuka kuna jamaa aliweka uzi huku akisema kua Zari atajuta kuzaa na domo? Watokwa povu walimnanga sana.Haya sasa mambo yameanza mapemaaaa....
salute sana mwalimu.
Najua hapo pochi lazima itune maradufu!
Hivi ni kweli jamani mondi anatoka na yule dada??!! My fatttt @.$.$
Mi ni fan mkubwa sana wa bosslady na alivyotoka na huyo dogo yaani duh nilibaki mdomo wazi.....ila mwisho wa siku nikaishia kusema.."anyways....it's life choices"
Hajaaaa ja jaaa!
Nilikua safarin.....yani usiku nlivopita hapa kimya kimya niligubikwa na burdan rohoniii
Ha ha ha ha ha chezea mutoto muzuri kutoka Zenji aliyeko UK wewe?
Jamani wanawake tujifunze kutokana na hili la Zari.Hii tabia ya kuparamia wanaume tusiowajua na kuanza show off na vijembe vya hatari tuache.
Ona sasa kama ni kweli Zari anaadhirika vipi? Na mimba akajibebesha kumkomesha wema, ataiweka wapi hii aibu?
Atulie tu na kukubali kua kuchapiwa ni siri ya ndani kama alivyokoma mashauzi maana huko insta yuko kimya kama sio yeye.
Mwanaume/mwanamke aliyetoka kubreack up na mpenzi wake anakua hana mapenzi ya dhati bali kulipiza kisasi.Na wale wote wanatumiana kulipa visasi....hapo sasa!
Kweli bhana.
Ebu tuleteeni link za bet tuwapigieni kura....uzalendo kwanza jamani team weka pembeni!
Rumours hizo mwenzangu lakini lisemwalo?
Bibie tokea juzi hizo habari zilivyovuja hajapost chochote.So kuna kitu kinaendelea hapo....ila itabidi ajikaze tu maana hakuna jinsi ndio utu uzima huo.
Hata mimi nilikua disappointed sana lakini mwisho wa siku nikaona haina haja ndio maisha yake aliyojichagulia.