Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,293
- 6,897
Mhhh,itabidi unifundishe na mimi nisijeipata aibu kwa kudance mbele za watu kwa maconfidence yote kumbe naonekana hamnazo kwa wanaojua..lol
Wala usitie shaka, wewe tena! Nitakufundisha zote hadi uzielewe. lol
Ova