Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,453
mmmmhh????
Unazeeka vibaya we babu chinga!
!!!!....??????......!!!!
mmmmhh????
Unazeeka vibaya we babu chinga!
Uliomfanya atambulike. Midundo ya number 1 (remix) iko Naija.
Ova
Nimeshamuambia...usijali hatuwezi kukuponza sisi watu wazima na akili zetu.
FLORA LYIMO DANCING MWANA BY.ALI KIBA 2014. ENJOY.
hahahaaaaa! nifah namshangaa Ms.Lincoln anajifanya slow learner eti hajui kuunganisha dots, lol
Mwenzangu!Jana eti alikua hayuko kwenye mood sijui ni project gani hiyo anayoifanya inamvuruga vile!
cc. Ms.Lincoln
hahahaaaa!! chezea le project wewe!!!
hapa nasubiria kwa hamuuu hizo suprise za Kiba, i was watching 'e-news' kasema amejipanga vyema this year na masuprise ya kumwaga, kibaaaaaa
Jamani!Nipo busy kweli na movies hadi TV sijaangalia....habari njema hii.
Can't wait kuya enjoy hayo masurprise ya King....
Ni mwendo wa pop it in tu mwaka huu....bado kill music iko njiani!
Uwiiiiiiii
amesema atatoa ngoma za ukweli za kutosha, ameipa jina hiyo styl ya utoaji wa ngoma zake nimelisahau, yaani ni mwendo wa burudani tu mpaka kieleweke
Haha haaaa,nilishangaa kutokukuona kwenye huu uzi.
YouTube ipo iyo interview ?
hahaha anajua kucheza kafunika wengi,hapo pembeni kakosekana lemutuz
amesema atatoa ngoma za ukweli za kutosha, ameipa jina hiyo styl ya utoaji wa ngoma zake nimelisahau, yaani ni mwendo wa burudani tu mpaka kieleweke
Kweli bibie katisha sana.Sikuwahi kufikiri kama anajua hivyo!
Le Mutuz akiicheza Mwana mtuhabarishe tuongeze siku...lol
YouTube ipo iyo interview ?
Leo hakuna sijui gari ina misi au sijui inachemsha