thank uuu mmmmwwwwwaaah
Kiss kiss....mmnhhh leo una nini mumy?umepiga pesa ndefu nini?..lol
Kwani wamefanyaje mie hata sielewi!Kutokana na nilivyo na akili timamu kwa kilichofanywa na P Square kwa Nassib ni kupeleka ujumbe tu kuwa, imbeni muziki wenu na msiige muziki wa Nigeria.
Ndio maana hizo nyimbo walizozitaja za Nassib ndio ziko katika mtindo wa Bongo Flava, si za kuiga muziki wa Nigeria. Hapo P Square wamepeleka ujumbe kwa njia hiyo.
Naamini kila mwenye akili timamu ameelewa, ile haikuwa sifa ila ni ukosoaji ambao hata Mwana FA amekuwa akiufanya kila siku kwa wanamuziki wanaoiga muziki wa Nigeria kama Nassib.
Yale yalikuwa ni makavu live, kwa mwenye akili timamu angekaa kimya tu ili sindano zimuingie, lakini kwa zuzu anatoka na kushangilia coz anaona kasifiwa.
Ova
Imetosha sasa jamani tujadili music.
Mnaizungumziaje hii ya P square kumfata Diamond hotelini na kuimba nae huku wakisema wanavyomkubali? pia wakamuomba namba zake na kuiimba ntampata wapi kama yao vile.
P-Square ni mashabiki wa âNitampata Wapiâ na Mdogo Mdogo za Diamond | Bongo5.com

Tunasubiri mtuambie kuwa Dai alikunya choo kimoja na P square!
Haha haaaaa,naona kupiga picha na kuombwa namba wameacha siku hizi
Kutokana na nilivyo na akili timamu kwa kilichofanywa na P Square kwa Nassib ni kupeleka ujumbe tu kuwa, imbeni muziki wenu na msiige muziki wa Nigeria.
Ndio maana hizo nyimbo walizozitaja za Nassib ndio ziko katika mtindo wa Bongo Flava, si za kuiga muziki wa Nigeria. Hapo P Square wamepeleka ujumbe kwa njia hiyo.
Naamini kila mwenye akili timamu ameelewa, ile haikuwa sifa ila ni ukosoaji ambao hata Mwana FA amekuwa akiufanya kila siku kwa wanamuziki wanaoiga muziki wa Nigeria kama Nassib.
Yale yalikuwa ni makavu live, kwa mwenye akili timamu angekaa kimya tu ili sindano zimuingie, lakini kwa zuzu anatoka na kushangilia coz anaona kasifiwa.
Ova
ujue kila mtu ana tafsiri yake ndio maana kuna kitu kinaitwa "pasepsheni".
MIMI ni mpenzi wa muziki wa nyumbani kuanzia bongo flava, taarabu, mchriku na kila aina ya muziki. mwanamuziki akifanya vizuri nitampenda tu na wakati wote najizuia kuchukua ipande. nampenda diamond na pia ally kiba ingawaje nampa credit za juu kidogo kiba nikitaka kumlinganisha na diamond ingawaje wote ni wazuri. pamoja na mambo mengine, ninachompendea diamond na vile anavyojituma. kama aliwahi kuisikia Number I ya Nemo na Dimpoz ana kila sababu ya kusema hivyo kwa sababu ile nyimbo 100% ni NaijaKutokana na nilivyo na akili timamu kwa kilichofanywa na P Square kwa Nassib ni kupeleka ujumbe tu kuwa, imbeni muziki wenu na msiige muziki wa Nigeria.
Ndio maana hizo nyimbo walizozitaja za Nassib ndio ziko katika mtindo wa Bongo Flava, si za kuiga muziki wa Nigeria. Hapo P Square wamepeleka ujumbe kwa njia hiyo.
Naamini kila mwenye akili timamu ameelewa, ile haikuwa sifa ila ni ukosoaji ambao hata Mwana FA amekuwa akiufanya kila siku kwa wanamuziki wanaoiga muziki wa Nigeria kama Nassib.
Yale yalikuwa ni makavu live, kwa mwenye akili timamu angekaa kimya tu ili sindano zimuingie, lakini kwa zuzu anatoka na kushangilia coz anaona kasifiwa.
Ova
Lakini haiondoi maana kwamba kila kitu kina maana halisi moja tu, na nyingine zinabaki kuwa dhana na kukaribia maana halisi. Na kuna baadhi ya mambo huweza kueleweka kwa wenye akili timamu tu, kwani maana zake huwa haziko moja kwa moja, ni kama Yesu aliposema yeye ni Maji ya Uzima.
Ova
Niku ulize swali tu je ni mziki gani aliofanya diamond amekopi music wa nigeria?
Uliomfanya atambulike. Midundo ya number 1 (remix) iko Naija.
Ova
Nashukuru umenisimulia,yani mie kufatilia habari za huyo mtu roho hainipi kabisa yani!Shemeji yake zari ameuliza ikiwa huyo jamaa huwa anaweza kukaa bila kukenua aisee!!Sipendi kweli yani mtu ana fake smile mpaka basi,anakenua utadhani meno yamejaa sana...
MIMI ni mpenzi wa muziki wa nyumbani kuanzia bongo flava, taarabu, mchriku na kila aina ya muziki. mwanamuziki akifanya vizuri nitampenda tu na wakati wote najizuia kuchukua ipande. nampenda diamond na pia ally kiba ingawaje nampa credit za juu kidogo kiba nikitaka kumlinganisha na diamond ingawaje wote ni wazuri. pamoja na mambo mengine, ninachompendea diamond na vile anavyojituma. kama aliwahi kuisikia Number I ya Nemo na Dimpoz ana kila sababu ya kusema hivyo kwa sababu ile nyimbo 100% ni Naija
nikija suala la p skwea, kama ni ku-dis basi hajam-dis diamond kwa kuwa sizani kama diamond amewahi kufana naija style. wanamuziki wakubwa wa tz waliowahi kufanya staili ya naija ni ommy dimpoz na nemo. aidha, hata p-skwea nae wala huwezi kusema alikuwa na kitu nyuma ya pazia kwa sababu amesema wazi wazi bila kuficha kwamba anaupenda muziki ambao hujachanganywa na wa kinaija.