Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

whaaat!!! nifah nimekuquote hapo juu nashangaa vimekuja vitu vingine vya ajabu cjui vya wapi!!!
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaa!!! sio utata bwana, she was a dancer na ndio kazi ilompelekaga huko walikwenda na band km ckosei

mmmhh!! kwani ndio kazi anofanya????
mie now najua ni mjasiriamali she has a blog n a botique

Hapo sawa,maana ukimwangalia ni kama hajakaa sura ya kudance,nikawa najiuliza labda mauno mengine
 
Aarrgg 😡😡 kumbe haupo serious kwa King eeh?
How dare you forget le King's Tamkooz?...lol
Usijali bwana,kikubwa tunasubiri mangoma ya ukweli basi.

hahahaaaaaa!!! uwiiiii i was busy na home chores nikaikutia kati ckuckia vzr lol, nimeckitika kweli kutokumbuka the name of the le tamkoz, najilaumu kweli, ngoja kwanza niwatch mwana video nijipoze kidogo
 
whaaat!!! nifah nimekuquote hapo juu nashangaa vimekuja vitu vingine vya ajabu cjui vya wapi!!!

Nimekuelewa mbona?Mimi imewahi kunitokea hivyo mara 3 hivi kama sikosei.
Cha msingi ukimquote mtu wakati wa kuandika soma kwanza alichokiandika ili kukwepa kumix mambo.
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaaaa!!! uwiiiii i was busy na home chores nikaikutia kati ckuckia vzr lol, nimeckitika kweli kutokumbuka the name of the le tamkoz, najilaumu kweli, ngoja kwanza niwatch mwana video nijipoze kidogo

Haha haaaa,haya jipoze mwaya.
Lakini hakuna ubaya bora ujumbe hasa wa King umefika basi,style tutaijua tu.
 
Hapo sawa,maana ukimwangalia ni kama hajakaa sura ya kudance,nikawa najiuliza labda mauno mengine

hahaaaaaaa!!! duuh eti mauno mengine!! so ulishavusha mawazo eti? na anakatika kweli
 
Nimekuelewa mbona?Mimi imewahi kunitokea hivyo mara 3 hivi kama sikosei.
Cha msingi ukimquote mtu wakati wa kuandika soma kwanza alichokiandika ili kukwepa kumix mambo.

alafu nami hii ni 2nd tym duuh!! kweli aisee now itabidi nikimquote mtu nisome kwanza
 
Haha haaaa,haya jipoze mwaya.
Lakini hakuna ubaya bora ujumbe hasa wa King umefika basi,style tutaijua tu.

yaani mweeeh!! na alivyokuwa anaongea kwa pozi sasa, katuliaaa wala hana papara, kiba wewe jamaniiiiii
 
Hamjambo?Mambo ya project za mbari jamani!Mpoo etiii! Matola umetekwa mazima?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom