Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hahaha folks u take this things seriously... hahaha I'm outta this place for good maana naona kuna watu wanachukulia kinachoandikwa humu seriously. Anyway, enjoyed alot here.. I hold no hate towards anyone on this place. I'm going as I came. Peace OUT :A S 109::A S 109:

Wewe mwenyewe ndo unataka kujipa stress,ulivokua unamfanyia mwanaume mwenzio uliona poa sana ee!!By the way karibu tena,haters are needed here kuchangamsha Royal Family,isitoshe ukiondoka nani atakuwa mshauri wangu!!Nishakuzoea ujue...
 
Siyo kosa lako ni malezi,huwa nashangaa kwanini unaongea umebana pua,Leo umebainika hata jinsia yako unakana,kweli humu JF mabwabwa mpo kibao

Hua nasikia tu JF kuna mabwabwa nikawa siamini maana sijawahi kuwasikia wakitamka hadharani.
Sasa leo nimejionea mmoja wao!
 
Usiende kujinyonga tu!!Kila la heri!Kwenda mwana kwendaaa Cc: Matola

Hatimaye sasa mafuta na maji vinaanza kujitenga, pumba na mchele hadharani kweupeeeee.

Wanawake wa leo mna kazi kupigana vikumbo na makaka poa, maana mdada akipropose kwa Matola mkaka poa naye anahitaji dushelele hilohilo la Matola.

Mpwa Pdidy mtumishi wa Mungu mpakwa mafuta kwa mara ya kwanza nakuita kwenye thread hii ukemee mapepo yote ya ushoga kwa jina la mwana wa adam na wote tuseme Ameen, pepo toooka!
 
Last edited by a moderator:

Aminaaa!!Ndo maana!kumbe ulibanwaaa...
 
Last edited by a moderator:
Kama yeye ndo mkongwe anafanya ufyandomo kiasi iki basi haina maana kujiita mkongwe,kwani JF ya baba yake??

Shangaaaaaa!!! Alidhani labda kuwapo kwake muda mrefu humu ndo kutampa heshima......thubutu yakeeee!!!
Kama hamnazo hamnazo tuuuuu hata angekuwa na midevu ka Osama!

Hilo ndo jitu zima ovyooooo bichwa kubwa akili kamasi!

Bora kuwa na new comers wanaojielewa kuliko wakongwe wenye degedege kama NkyaH!
 
Aminaaa!!Ndo maana!kumbe ulibanwaaa...

hahahahahaaaaaaaa
hahahahhaaaaaaaaa
woyoooooooooo
tenaaaaa kuna watu wanatamani kua km mie na urithi wangu wa bibi dah
usimfanyie hvyooo jamani mwenzio anatamani kua na kipochi manyoya so anatuonea dongee

Shangaaaaaa!!! Alidhani labda kuwapo kwake muda mrefu humu ndo kutampa heshima......thubutu yakeeee!!!
Kama hamnazo hamnazo tuuuuu hata angekuwa na midevu ka Osama!

Hilo ndo jitu zima ovyooooo bichwa kubwa akili kamasi!

Bora kuwa na new comers wanaojielewa kuliko wakongwe wenye degedege kama NkyaH!

Updates, sitaki shida na wapumbavu mwaka huu.
 
Hahaha folks u take this things seriously... hahaha I'm outta this place for good maana naona kuna watu wanachukulia kinachoandikwa humu seriously. Anyway, enjoyed alot here.. I hold no hate towards anyone on this place. I'm going as I came. Peace OUT :A S 109::A S 109:

Moja.....mbili....tatu.... TOKAAAAAAAAAA!!!!

Beba na skintight yako ulokuja nayo
 
Imetosha sasa jamani tujadili music.

Mnaizungumziaje hii ya P square kumfata Diamond hotelini na kuimba nae huku wakisema wanavyomkubali? pia wakamuomba namba zake na kuiimba ntampata wapi kama yao vile.

P-Square ni mashabiki wa ‘Nitampata Wapi’ na Mdogo Mdogo za Diamond | Bongo5.com
Nawewe umekuja na maroroso yako la ajabu nini sasa hapo?Amshukuru Davido alompa u fame naija,few days baki domo alikuwa hafahamiki hata kidogo!!Kwanza kwa kujisingizia hajambo,isitoshe yeye ndio aloenda kuwabembeleza so what!!
 
Imetosha sasa jamani tujadili music.

Mnaizungumziaje hii ya P square kumfata Diamond hotelini na kuimba nae huku wakisema wanavyomkubali? pia wakamuomba namba zake na kuiimba ntampata wapi kama yao vile.

P-Square ni mashabiki wa ‘Nitampata Wapi’ na Mdogo Mdogo za Diamond | Bongo5.com

Inatosha nini?wewe kama nani wa kutupangia cha kujadili?Thread yetu tunajadili tunachokitaka hizo habari za ndomo hapa sio pahala pake.
Pita hivi <<<<<<<<< rudi ulikotoka.
😡😡😡
 
Back
Top Bottom