Alex Massawe kakamatwa!

Alex Massawe kakamatwa!

Joined
Apr 5, 2013
Posts
32
Reaction score
6
Nalipongeza Jeshi la Tanzania kwa kushirikiana na interpol kwa kumuweka Huyu mfanyibiashara maarufu mikononi, ila angalizo - money can buy anything!

Ingependeza Kama wangepewa interview live ili ijulikane Nani hasa aliyefanya Yale mauaji ya Yule Kijana Na kutoa utata Wa Papa Msofe kuendekea kuwekwa ndani
 
habari haijakamilika...please come again.
 
Chanzo cha taarifa? Wote wafungwe tumechoka na vurugu za mapedejhee wauza unga na kutajwa tajwa kwenye mabendi.
 
...kosa,tuhuma gani ? funguka kidogo...
 
Nalipongeza Jeshi la Tanzania kwa kushirikiana na interpol kwa kumuweka Huyu mfanyibiashara maarufu mikononi, ila angalizo - money can buy anything!

Ingependeza Kama wangepewa interview live ili ijulikane Nani hasa aliyefanya Yale mauaji ya Yule Kijana Na kutoa utata Wa Papa Msofe kuendekea kuwekwa ndani

Una maanisha nini wapewe interview live? wewe unafikiri tuhuma za mauwaji zinajibiwa kwenye vyombo vya habari!..ili iweje? umaarufu pembeni wakanyee debe, mahakama ndiyo itaamua nani muuwaji!
 
Nalipongeza Jeshi la Tanzania kwa kushirikiana na interpol kwa kumuweka Huyu mfanyibiashara maarufu mikononi, ila angalizo - money can buy anything!

Ingependeza Kama wangepewa interview live ili ijulikane Nani hasa aliyefanya Yale mauaji ya Yule Kijana Na kutoa utata Wa Papa Msofe kuendekea kuwekwa ndani

Mkuu Private Candidate hebu tuwekee hadithi nzima ya kuunganisha dots za kesi yake maana mimi naona gap kubwa sijui kitu hapa.
 
Alex massawe hivi aliacha ule mchezo wake wa kufadhili ujambazi?
 
Mkuu Private Candidate hebu tuwekee hadithi nzima ya kuunganisha dots za kesi yake maana mimi naona gap kubwa sijui kitu hapa.

Kwanza nianze kuhakikisha hii habari kuwa ni kweli hata East Africa Radio wameirusha mda si mrefu. Alex Massawe anakabiliwa na tuhuma za mauwaji ya mfanyabiashara ambayo pia Papaa Msofe anahusika. Habari zilizopo ni kuwa mfanyabiashara aliyeuliwa alikopa fedha (inasemekana ni kama mil 200, ila sina uhakika na hii amount) kutoka kwa ALex massawe na akaweka bond nyumba yake iliyopo maeneo ya magomeni. Akamkabidhi Alex masawe hati ya nyumba ikiwa ni sehemu ya mkataba wa mkopo huo. Mfanyabiashara alipotaka kurizudisha zile fedha Alex massawe akawa anapiga chenga hataki kuzipokea kwa madhumuni ya kuupitisha muda riba iwe kubwa jamaa ashindwe kulipa halafu ajihalalishie kuichukua nyumba. Marehemu akawa mjanja akaenda kuiwakilisha zile fedha kwa mwanasheria aliyewafungia mkataba wa mkopo. Baada ya Alex massawe kuona anazidiwa ujanja ndo akaanza kutumia mabavu na kumuuzia ile nyumba Papaa msofe ilihali akijua hana umiliki halali. Baada ya mfanyabiashara kuuawawa, papaa msofe ndo akawa anaighasi familia ya marehemu kuwa hiyo nyumba kashauziwa hivyo watoke na atakuja kuwatoa kwa nguvu. Mke wa marehemu akaenda moja kwa moja kwa Said Mwema na kuilezea habari nzima nzima tangu makubaliano ya mkopo na kuuliwa kwa mumewe na vitisho anavyopata toka kwa wauwaji wa mumewe. Kifupi hili ndo saga lenyewe na kesi ya Papa msofe ilikuwa haiwezi kwenda popote hadi alex massawe atapopatikana kwa sababu ni mtuhumiwa mkuu pia kwenye kesi hii.
 
Mkuu Kingmairo, umenifumbua akili nashukuru sana nimehisi naangalia movie wakati nasoma ujumbe wako, kumbe ndiyo maana Yesu alisema "Ni rahisi ngamia kupita tundu la sindano kuliko tajiri kuingia ufalme wa Mungu" hawa matajiri wamefanya maasi mengi sana kufikia hapo walipo. Kila siku uhalifu unafanyika kujiongezea vipato visivyo halali. Mungu atuepushe jamani.
 
Bora Jambazi massawe limekamatwa plz wale mlidhurumiwa na alex massawe ndio mda wenu huu wa kwenda kufungua kesi pili sirikali ifilisi mali zake zote anzeni na hotel yake ya kinondoni studio.
 
Mkuu Kingmairo, umenifumbua akili nashukuru sana nimehisi naangalia movie wakati nasoma ujumbe wako, kumbe ndiyo maana Yesu alisema "Ni rahisi ngamia kupita tundu la sindano kuliko tajiri kuingia ufalme wa Mungu" hawa matajiri wamefanya maasi mengi sana kufikia hapo walipo. Kila siku uhalifu unafanyika kujiongezea vipato visivyo halali. Mungu atuepushe jamani.

tamaa ndio zinawasumbua hawa,mtu kama alex massawe kwa fedha alizonazo asingetakiwa tena aanze kudhulumu nyumba tena ya gharama ndogo kama hiyo,wahenga hawakukosea waliposema jasiri haachi asili,yule kesha zoea kutoa roho za watu ili kujipatia kipato hvy ni ngumu sana roho yake kuachana huyo ibilisi mpaka siku anaingia kaburini.
 
weka wazi habari ili tukusome mdau, kwa kweli nimekosa uhondo.
 
tamaa ndio zinawasumbua hawa,mtu kama alex massawe kwa fedha alizonazo asingetakiwa tena aanze kudhulumu nyumba tena ya gharama ndogo kama hiyo,wahenga hawakukosea waliposema jasiri haachi asili,yule kesha zoea kutoa roho za watu ili kujipatia kipato hvy ni ngumu sana roho yake kuachana huyo ibilisi mpaka siku anaingia kaburini.
chezea shetani weye!
ili baadae aje ajitape Mungu kambariki wakati alikuwa muuaji, ni hivi shetani habebeki hata sikumoja hata umfanyie nini lazima aje akugeuke uaibike kama yeye.
 
Back
Top Bottom