Ulikuwa hujui?
Albam waliyotoa Daz Nundaz pia ilikuwa ni noma. Kulikuwa na ngoma za hatari kama Kamanda, Barua, Nitafanya nini, Maji ya shingo n.k.
Hakujawai kuwa na album bora kama funga kazi hapa bongo
Kama kuna mtu anashida na album ya HBC ile ya Funga kazi yenye nyimbo kama Eeh Mola,Funga kazi,Chemsha bongo,Mamsap,Chuzi limekubali,Nusu peponi Nusu kuzimu,Time for Action,Fanani tunaweza kuchekiana kwenye whatsapp 0713210056 vigezo na masharti kuzingatiwa.
A.K.A Mimi ya Ngwair wataikuta vijana watakao zaliwa 2030.
Tatizo copy za nyimbo za majuu nyingi..
Hao walikuwa BDPMaji ya shingo maji yaa shingo yamenifika mwana mkiwa.....
Hao ni Daz Nundaz sio BDP mkuuHao walikuwa BDP
Ni CD nduguMkuu hiyo Album ni N¥0k0,unauza sh ngapi? Ni vinly,Tape au CD?