Album za makundi ya wasanii ambao mpaka leo ni best katika moyo wangu

Nakupenda kama ulivyo na wewe nipende kama nilivyo hivyo ndivyo mapenzi ya kweli jinsi yalivyo usilete usista du sbb mm ni msela napenda demu msela atakae nipenda hata kama sina hela. 2Proud ktk wa kiwango cha juu kabisa cha ubora
 
Kama kuna mtu anashida na album ya HBC ile ya Funga kazi yenye nyimbo kama Eeh Mola,Funga kazi,Chemsha bongo,Mamsap,Chuzi limekubali,Nusu peponi Nusu kuzimu,Time for Action,Fanani tunaweza kuchekiana kwenye whatsapp 0713210056 vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Hakujawai kuwa na album bora kama funga kazi hapa bongo

Nakuunga mkono kaka, mpaka leo nikisikiliza ile album yaani inanipa raha sana. Kipindi hicho bongo fleva ilipokuwa muziki!! HBC walifunga kazi kweli kweli!!
Bado sijasikia album ya bongo fleva iliyoifikia funga kazi!!
 
Nyimbo za zamani ni balaaa jamaa walikuwa wanaumiza vichwa kutunga, full respect kwa prof j, jay mo, nature & co. huwa sikosi kuziskiliza kila jmos saa 4 usiku radio one.
 
Kama kuna mtu anashida na album ya HBC ile ya Funga kazi yenye nyimbo kama Eeh Mola,Funga kazi,Chemsha bongo,Mamsap,Chuzi limekubali,Nusu peponi Nusu kuzimu,Time for Action,Fanani tunaweza kuchekiana kwenye whatsapp 0713210056 vigezo na masharti kuzingatiwa.

Mkuu hiyo Album ni N¥0k0,unauza sh ngapi? Ni vinly,Tape au CD?
 
chuzi limekubali Hard Blasters crew
 
Attachments

  • Chuzi Limekubali - Hard Blasters Crew.mp3
    10.3 MB · Views: 74
Álbum ya mandojo na domokaya iliyokuwa na nyimbo ya nikupe nini pía álbum ya late mangwair yenye nyimbo ya mikasi na she got a gwan
 
Back
Top Bottom