aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,630
- 3,578
Kuna watu wanaitwa waswahili, hapa namzungumzia Sadaat na wenzake hawa jamaa walikuwa noma sana katika uandishi sema hawakuwa na bahati albumyao ya Waswahili ilitisha nyimbo kama
Yupi bora kati ya ndugu na rafiki,
Pengo,
Kila mtuna starehe yake,
Wazo la leo,
Binadamu.
Kiukweli jamaa walikuwa hot ni tu na bahati na poor management.
Wengine ni University Corner hawa jamaa nao walikuwa balaa,
walianza na track yao inaitwa Kuwa Uone mwaka 2001 kisha wakaja na kitu Usinicheke, then T Shirt na Jeans, Vumilia, Wenye Akili, Sina Nauli na mpaka ya juzi juzi Kaka Yupo Town hawa jamaa mpaka leo wapo moyoni mwangu pia.