Album za makundi ya wasanii ambao mpaka leo ni best katika moyo wangu

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,630
3,578
Kuna watu wanaitwa waswahili, hapa namzungumzia Sadaat na wenzake hawa jamaa walikuwa noma sana katika uandishi sema hawakuwa na bahati albumyao ya Waswahili ilitisha nyimbo kama

Yupi bora kati ya ndugu na rafiki,
Pengo,
Kila mtuna starehe yake,
Wazo la leo,
Binadamu.


Kiukweli jamaa walikuwa hot ni tu na bahati na poor management.

Wengine ni University Corner hawa jamaa nao walikuwa balaa,
walianza na track yao inaitwa Kuwa Uone mwaka 2001 kisha wakaja na kitu Usinicheke, then T Shirt na Jeans, Vumilia, Wenye Akili, Sina Nauli na mpaka ya juzi juzi Kaka Yupo Town hawa jamaa mpaka leo wapo moyoni mwangu pia.
 
Dah Mkuu umenikumbusha mbali sana waswahili walikuwa noma sana. Ila ktk albums zote za makundi ya kibongo Wachuja nafaka walitisha sana kuna kitu kinaitwa Ya Leo Kali balaa tupu
 
Dah Mkuu umenikumbusha mbali sana waswahili walikuwa noma sana. Ila ktk albums zote za makundi ya kibongo Wachuja nafaka walitisha sana kuna kitu kinaitwa Ya Leo Kali balaa tupu
Waswahili mtunzi wao alikuwa father P, walivyozinguana tu ndo madogo wakapotea
 
Hakujawai kuwa na album bora kama funga kazi hapa bongo

Hiyo album ni shiidaaa...humo ndo nigga j utamtaka ubaya na style ya michano ya kunata, kule mtu mzima terry a.k.a fanani hapa wille!ni balaa...sikiliza pini lao linaitwa "chuzi limekubali, mambo yee mambo waah"....nigga j aliikuta HBC ila kazi aliyoifanya nzito sana ktk game, nakumbuka first time kupandishwa stejini ilikuwa korean culture
 
hivi uswahilini matola hawakua na album?

BTW wazee wa tshirt na jinsi wako wapi?
 
Wachuja nafaka wazee wa nazi , wazee wa vitu vitamu,wazee wa mapple ya kijani!...

Ukweli na uwazi hii album hata kwangu kwa makundi ndy best ever!.

Respect Nature,KR ,Doro!...
 
Wengi walikuwepo sasa hivi wako wapi balozi bado nipo,nipo kwenye chati ....hii ndo bongoflava sasa hivi ukisikiliza utafikiri naja kucheki kumbe timbulo wa chita morogoro
 
acheni kabisa na funga kazi ya HBC ilikua ni shida....watu walichanika vbaya mle yan kama.....embu skiza funga kazi uone nigga j alivotema mawe.....by the way RIP mangwea..nae alitisha sana na akak mimi...salute
 
Daah,kwangu mimi album ya Wachuja nafaka yenye nyimbo kama wachuja nafaka,radhia,ya leo kali,mzee wa busara n.k ndo ilikua bora kabisa,jamaa walikamua sana na Majani alifanya yake pia,mambo ya "ndi ndi kandingindinya ,ndi ndi kandingindinya nani kamfinyaaa"......................

Soggy di doggy doo hana hana hana hana hana do.... ha haaaa..necha katiririka mule kwenye wachuja nafaka balaa!
 
Back
Top Bottom