Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,529
- 109,004
Lakini Muhamad hajaandika kitabu cha Qur'an, kitabu kiliandikwa miaka mingi baadaye baada ya kifo chake.Ni maneno yake acha kuwa mjinga.
Kipi kinathibitisha sio maneno yake?
Wewe ukiandika kitabu sasa hivi ukasema ni kitabu cha mungu wako labda tumuite Isesye. Kama alivyofanya Muhammad kuita kitabu cha mungu wake Allah.
Utathibitishaje ni kitabu cha Mungu na sio kitabu cha utunzi?
Jadili kwa hoja
By the way Muhamad hakujuwa kusoma wala kuandika.