Al Badir ni utapeli. Kwanini msimsomee Netanyahu

Al Badir ni utapeli. Kwanini msimsomee Netanyahu

Kila muislam anamchukia anamlaani sana ,ni miaka sasa jamaa anawapasua tu kwanini msimsomee afe aache kuwatesa Waislamu wenzenu

USSR
Kwa nini ''mungu' Yesu asimuue kwanza Caiphas.Wayahudi Warumi na Shetani waliontundika msalabani baada ya kumshushia kipigo kikali?
El Porqueria imbecilic
 
Na Dadake Lissu pale Mahakamani kutupigia mikelele ya YESU YESU YESU unaweza unaweza mbona hakuweza uyo YESU YESU mbona Mwisho Kakake karudi Lupango kusafisha vyooo
vya KEKO

twambie kwaniniYESUYESU hakutaka kufanya miujiza ili Lissu aponyoke KEKO???
Nimegundua una akili ndogo sana wewe kama chawa mbobevu
 
Wewe unadhani Uislam kuwepo ndo kunakufanya uamini kuwa ni dini ya kweli.
Dini ya kweli angalia mafundisho yake na maisha ya Mohamed kama mtume.
He was a Satanic agent.
Muhammad kasifiwa kwenye Quran ni mbora wa viumbe vyote.
Wewe nani useme ni wakala wa shetani
 
Nimegundua una akili ndogo sana wewe kama chawa mbobevu

Nyinyi kwenu ile ndio Akili kubwa kumuomba YESU YESU ALELUYAAAAA YESU

Sasa kasaidia nini kama sio Mikelele tu Mahakamani

Kila hakija Mahakamani YESU YESU Aleluyaaaaa Ameeeennn YESU

Kwani pale Mahakamani hakuna Washitakiwa wengine mbona wanapambana kimyaa kimya
Badala kumbebesha Zigo uyo YESU wenu gumu
Mwisho nikama mnamdhalilisha tu kupitia Jina lake

Sheria na miujiza wapi
na wapi kama sio Utapeli na kusumbua watu na Mikelele

Mbona Waislamu hawana Utumbo utumbo kama ule????

Kila Kesi ikija YESU YESU

Kila Mshitakiwa pale nayeye aje na Madada zake waangushe Mikelele itakuwaje

Kwanini Mikelele isiwe uko Makanisani kwenu✅️

Tuseme siku iwe tofauti sasa Lissu kaachiwa
Manake washitakiwa wangine wataamini kwenye YESU na Mikelele pale Mahakamani ndio imesaidia
Sio Vipengele vya Sheria¿¿¿¿

Washitakiwa watajazana na Wana maombi pale
Mahakamani
Badala kulipa Wakili🫡 Suluhu ni kutafuta Wana maombi tu🫎🫎👈

kumbe ipo njia ya mkato‼️ kukwepa tuhuma zako kwa kutumia jina la YESU YESU Aleluyaaaaa

Ule ni Ushamba na Uzwazwa wa Kikristo mbele ya Mahakama

Na ni kumdhalilisha YESU mwenyewe kumtaka afanye miujiza‼️

Lini kawai kufanya miujiza ya Kisheria
Mnatumia jina lake kama
kondomu popote YESU Aleluyaaaaa YESU

Wale Majaji wengi ni Wakristo wanachukizwa kutumia jila YESU kwenye misingi ya Kisheria 👈


Kama miujiza ipo kwanini mikiumwa mnajazana mahospitalini si mkajazane kwa YESU Makanisani mupate miujiza mwende makwenu✅️

Yule Dada hachoki kujidhalilisha mwenyewe na jina la YESU
Kuna rafiki zangu Cristian wengi wanachukizwa na Yule
Dadake Lissu ❌️

Mnamtumia YESU vibaya

Kwani kule Lupango hakuna wafungwa wa Kikristo uyo YESU hakuwaona wale kabla ya kufungwa kwao‼️

Uyo Lissu mbele ya YESU ananini cha ziada ¿¿¿



mwisho Lissu anarudi Lupango
YESU kadhalilika waliofumba Macho kupokea maombi wanajionaje vile 🫎😥

watu wamechoka kufumbishwa Macho kindezi ndezi!👈

Kusema wanashindwa tu.

Mwambieni uyo Dada
Kama kumuomba YESU Aleluyaaaaa sawa✅️

lkn si hamuombe kimya kimya Moyoni
mwake au YESU kiziwi mpaka wapige Mikelele ndio anasikia🫡🫡
 
Tusiseme maombi au Dua havifai
Yumkin vinafaa lkn viwe kimyaa kimya
Unamuomba Mungu wako
Moyoni mwako unasema na Mungu wako Moyoni

Lkn ile Mikelele ni kuingiza Ushamba Ushetani ndani ya maombi yako

Nisawa umechagua kazi
ya ndondi kupigana kufika
ulingoni unataka YESU Aleluyaaaaa ndio hapigane kwaajili yako yakuwa YESU Aleluyaaaaa anaweza kufanya miujiza ivyo atapigana
kwaajili yako

YESU wanani kwani sio wa wote mpaka uyo mpinzani wako sasa kwanini
Yeye asimame naww na si na Yule mpinzani wako

Wewe Lissu au mwengine unanini kikubwa mbele ya uyo YESU Lissu mikononi mwake kakeba vitabu vya Sheria sio Biblia kupunguzeni Ushamba wa Kikristo 🫎🫎🫎🫎🫎😜
 
Tusiseme maombi au Dua havifai
Yumkin vinafaa lkn viwe kimyaa kimya
Unamuomba Mungu wako
Moyoni mwako unasema na Mungu wako Moyoni

Lkn ile Mikelele ni kuingiza Ushamba Ushetani ndani ya maombi yako

Nisawa umechagua kazi
ya ndondi kupigana kufika
ulingoni unataka YESU Aleluyaaaaa ndio hapigane kwaajili yako yakuwa YESU Aleluyaaaaa anaweza kufanya miujiza ivyo atapigana
kwaajili yako

YESU wanani kwani sio wa wote mpaka uyo mpinzani wako sasa kwanini
Yeye asimame naww na si na Yule mpinzani wako

Wewe Lissu au mwengine unanini kikubwa mbele ya uyo YESU Lissu mikononi mwake kakeba vitabu vya Sheria sio Biblia kupunguzeni Ushamba wa Kikristo 🫎🫎🫎🫎🫎😜

Havifanyi kazi mzee.
 
Muhammad Quran sio yake.wala sio maneno yake

Ni maneno yake acha kuwa mjinga.

Kipi kinathibitisha sio maneno yake?

Wewe ukiandika kitabu sasa hivi ukasema ni kitabu cha mungu wako labda tumuite Isesye. Kama alivyofanya Muhammad kuita kitabu cha mungu wake Allah.

Utathibitishaje ni kitabu cha Mungu na sio kitabu cha utunzi?

Jadili kwa hoja
 
Albadiri inafanya kazi kwa wezi wa kuku tu


Na Yule Dadake Lissu kaanza kumbebesha YESU YESU Aleluyaaaaa Zigo la tuhuma za Kakake Lissu tangu mwaka jana

lkn YESU Aleluyaaaaa Ameeeennn Y kagomea ilo ZIGO 😂😂

lkn Dadake hachoki kumtwishwa ilo ZIGO la tuhuma za Kakake

YESU kakataaa kutumika kuzima MOTO na umeuwasha mwenyewe
Lissu ubeba mavitabu mengi ya Sheria manake yeye Lissu imani yake ipo kwenye Sheria ndio itamponya

Lkn Dadake analazimisha ZIGO libebwe na YESU kupitia kuigeuza Mahakama kama Kanisa la muda mfupi
Punda afe lkn Mzigo ufike ndio mbinu ya Dadake Lissu¿¿

YESU kagomea kubebea ZIGO
la Lissu kule Lupango wapo viumbe wazuri zaidi ya Lissu na wamenyuti na kumshukuru Mungu wao 😂😂😂😂
 
Kwa ujumla,Ukristo na uislam ni upumbavu

Ukristo ndio umedhidi sn upumbavu
Tofauti na Waislam waislamu wapo kimyaa kimya
Kufanya mambo yao✍️

Huwezi sikia neno miujiza kuponya binadamu mlemavu kwenye kesi nk.

Yani wapo kimya

Tofauti na Wakristo wanajiaminisha
Sana kwamba miujiza
inawezekana🫡

kwaiyo bila aibu popote wanaomba miujiza miujiza itokee‼️‼️

mwisho wanapata aibu waombaji lkn hawakomi 🫡🫡

kesho tena wanaomba miujiza uyo Dadake Lissu tangu mwaka jana anaomba miujiza sio poa✍️
 
Back
Top Bottom