Kama alikuwa kiziwi na bubu apo ndio ungeuliza swali lako😀😀😀.mtu asiyejua kusoma na kuandika anawezaje kuwa mtunzi?
Kwani Hadith za kale zililetwa na watu wanaojua kusoma na kuandika?
Kama alikuwa kiziwi na bubu apo ndio ungeuliza swali lako😀😀😀.mtu asiyejua kusoma na kuandika anawezaje kuwa mtunzi?
Kule kutakuwa na picha ambayo mtakuwa mnaziangalia na mtachagua ya mwanaume au mwanamke na kuingia kwenye picha na kufanyanayo mapenziEbu tunga wewe aya moja inayohusu mambo ya mbinguni.
Kule wapi?Kule kutakuwa na picha ambayo mtakuwa mnaziangalia na mtachagua ya mwanaume au mwanamke na kuingia kwenye picha na kufanyanayo mapenzi
Nimetunga aya moja
Apo lazima ukasome kitabu changu Cha Hadith na tafsiri ili ujue ni wapiKule wapi?
Viweke hapa nisome hadithi zakoApo lazima ukasome kitabu changu Cha Hadith na tafsiri ili ujue ni wapi