Akosa matibabu MOI kutokana na urefu wake

Akosa matibabu MOI kutokana na urefu wake

Itabid unpm nifanye jaribio.....hahhaaaaaaaaaa naona mnajipigia debe hatar..ila wanaume warefu wengi hawadumu kwenye ndoa na mahusiano ..vile vile wanaofunga ndoa zaid n wanaume wafupi , wenye miili midogo na waref wastani
Utanisamehe buuureee huko pm nauli sina atiii, raia namba moja kasema tubane matumizi hahaahaah
 
GYule jamaa angekulia Dar sasahivi angekua anacheza basketball huko Ulaya.

Usukumani wameishia kumvunja kiuno kwa kulima...exposure exposure exposure!!!!
Hahahahaaa mkuu umenichekesha sanaaa
 
ukiwa mrefu watu wanakushangaa,na ukiwa mfupi watu wanakushangaa pia.
 
kweli
Kijana aliyejulikana kwa Jina la Baraka amekosa Matibabu hosipitali ya Muhimbili kitengo cha Mifupa- MOI.

Kijana huyo ana matatizo ya muguu, Madaktari wameshindwa kumuhudumia huyo mgonjwa aliyeonekana kubembea kwenye magongo mawili.

Bwana Baraka ana urefu wa futi 7.4, hivyo imeoneka hakuna accessories, yaana vyuma vya kumsaidia kuunga mguu wake kwenye nyonga kutokana na urefu wake, pia Kitanda kimekosekana kirefu sawa na urefu wake kumlaza.

Hivyo Bwana Baraka atalazimika kwenda nje ya Nchi kwa ajili ya matibabu.
Raia waliokuwepo walionekana kumshangaa maumbile yake ya urefu, nayeye akasema anawashangaa walivyo wafupi.

Chanzo: ITV Habari.
 
Anawashangaa walivyo wafupi [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Dah inatia huruma sana kukosa matibabu eti tatizo hakuna kitanda futi 7.4, je ingekuwa ni mgonjwa wa kipindupindu asingesaidiwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom