Akosa matibabu MOI kutokana na urefu wake

Akosa matibabu MOI kutokana na urefu wake

na ukweli ndiyo huo hasa kama ulikuwa unajua kuitumia ..wengine ndefu lakini hawajui kuitumia
Ndio maana nikasema hapo awali jamaa asimsikitikie Jo. Jo anajua alichofia pale huko kwingine ni sukuma siku ziende lakini Hasheem akiita tu kiba hana chake pale.
 
Kijana aliyejulikana kwa Jina la Baraka amekosa Matibabu hosipitali ya Muhimbili kitengo cha Mifupa- MOI.

Kijana huyo ana matatizo ya muguu, Madaktari wameshindwa kumuhudumia huyo mgonjwa aliyeonekana kubembea kwenye magongo mawili.

Bwana Baraka ana urefu wa futi nane, hivyo imeoneka hakuna accessories, yaana vyuma vya kumsaidia kuunga mguu wake kwenye nyonga kutokana na urefu wake, pia Kitanda kimekosekana kirefu sawa na urefu wake kumlaza.

Hivyo Bwana Baraka atalazimika kwenda nje ya Nchi kwa ajili ya matibabu.
Raia waliokuwepo walionekana kumshangaa maumbile yake ya urefu, nayeye akasema anawashangaa walivyo wafupi.

Chanzo: ITV Habari.

Mkuu siyo futi nane umekosea ni futi saba na nchi nne
 
kwa comments zenu wadada,naona mnashabihisha urefu wa baraka na maumbile yake ya siri..swali,je nyie huwa mnapenda zipi kati ya hizi?

A:ndefu na nene

B:ndefu na ya wastani

C:fupi na nene

D:fupi na ya wastani

E:ndefu na nyembamba
 
Huyu jamaa ni mrefu aisee.
Kuna siku gari ilikwama kwenye reli ya pale Buguruni, sasa ikabidi nishuke kuomba watu wanisaidie kuisukuma itoke,,,,ile natoka tu nakutana na binadamu mrefu sijahi ona
Hahahaa nilirudi ndani ya gari nikatulia kwanza manaa sikuamini nilichokiona plus na zile stress za gari kukaa kwenye reli ndo kabisaa nikaishiwa nguvu
Alikuwa ni huyu huyu jamaa...aisee ni mrefu sana
 
kwa comments zenu wadada,naona mnashabihisha urefu wa baraka na maumbile yake ya siri..swali,je nyie huwa mnapenda zipi kati ya hizi?

A:ndefu na nene

B:ndefu na ya wastani

C:fupi na nene

D:fupi na ya wastani

E:ndefu na nyembamba
Chonde Chonde mkuu hili swali usijaribu kumuuliza mwanamke wako hata kwa bahati mbaya aisee...unaweza jibiwa napenda ndefu ilhali wewe ukijiangalia yako fupi hahahaaa
 
Chonde Chonde mkuu hili swali usijaribu kumuuliza mwanamke wako hata kwa bahati mbaya aisee...unaweza jibiwa napenda ndefu ilhali wewe ukijiangalia yako fupi hahahaaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
namwambia ukweli tu na wengi wao si waoaji
Uoaji unakuja baada ya kuona una vigezo wa kupewa hiyo nafasi? Bahati mbaya utwiga wetu wadada mnautumiaga vibaya na mbaya zaidi hatujui kuvumilia kuongopewa kwenye hiyo idara ndio maana ukinaswa umecheat haina kuangalia tena ila inauma unakupokuja kusikia anasema alikuwa in real love kwako baada ya break up .
 
mmh wengi sababu mnapata attention ya kutosha mnakuwa wa kujiachia mno
 
Usimshangae Jo kufa pale na anakiri pale alipenda huko kwingine ni zuga tu. Ila hako kauzoefu ninako sina urefu huo japo mm ni mrefu ila ukidate na binti wewe ndio umuache sio yeye sijui kuna nini kipo hapo.
Itabid unpm nifanye jaribio.....hahhaaaaaaaaaa naona mnajipigia debe hatar..ila wanaume warefu wengi hawadumu kwenye ndoa na mahusiano ..vile vile wanaofunga ndoa zaid n wanaume wafupi , wenye miili midogo na waref wastani
 
mmh wengi sababu mnapata attention ya kutosha mnakuwa wa kujiachia mno
Hilo nakukatalia hakuna watu wachovu kuhangaika na watt wa kike kama hizi type na tunajiweka sana ndio maana ikitokea ukicheat naona haina sababu ya kuendelea na mtu huyo. Hapo ndipo mnatoaga kauli zenu kwamba tuna majivuno.
 
Ndiyo muache
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom