Akosa matibabu MOI kutokana na urefu wake

Akosa matibabu MOI kutokana na urefu wake

Wekeni picha
159fc4544d5aec95a73b72084769e584.jpg
58689a7eb2b3c1031506b972eee98d4f.jpg
5d0a2f7e5c8b80c85dec1c377eb07cf6.jpg

Umeridhika?
 
Alikuwepo mmoja Goweko Tabora na alifariki mwaka1992/3 huyu atakuwa mfupi kidogo, Mimi si mrefu si mfupi nilikuwa namfika kiunoni siku ya kwanza kumuona nilihisi moyo unazima, niliporudi Dar kumweleza bi Mkubwa akasema anamfahamu miaka kati ya 1960 na 1970 jamaa alikuwa anauza ndizi stesheni ya Goweko anaingiza mkono kudai au kupokea pesa kwa mtu wa pili katika kiti yaani ni mrefu shingo inafika usawa wa dirisha la garimoshi kipindi namuona Mimi alikuwa ni Mzee sana hakuacha mke wala mtoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom