Akosa matibabu MOI kutokana na urefu wake

Kwahiyo Hasheem Thabeet anasubiri?!
NImepata jibu, Hasheem anasubiri:
Hasheem.png

Kudadadeki, Hasheem amelazimika kuinua shingo kumwangalia mchizi usoni hadi anaonekana kuogopa kutoa mkono!!!!
 
Sasa mbona tunataka tumpeleke India mkuu? Atapanda ndege gani? Ngoja tumuulize Ezekiel Maige atupe uzoefu wa kusafirisha viumbe hai warefu kama hawa maana alipakia twiga na kwa Baraka atasaidia tu
Du!
 
Wacha masiara atakuambia umjengee kage shauriyako.
 
watu toeni namna maonï atakavyo pona

Khaa, ina maana Jf kuna madaktari bingwa zaidi ya wale wa Moi?
Madaktari walishasema itabid apelekwe nje kwa matibabu. Hapa twasubiria watuambie namna ya kumchangia tu
 
Habari ya kweli.mm nafikir serikali impeleke USA au China huko wapo wale wapiga kikapu WA NBA akina yao ming WA china
 
Uwe una angalia na umri
Mfano mwenye miaka 30 utampeleka wapi na ligi gani akajifunzie huo mchezo....kwenye michezo ukiachilia mbali kipaji na umbile la mtu ,umri una influence kubwa
...........
 
Mdau nadhani anazungumzia kupata matibabu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom