Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,117
- 4,782
natathimini huko down yukoje
Ukubwa wa pua si wingi wa kamasi
natathimini huko down yukoje
sijasemea ukubwa nimeshtuka urefuUkubwa wa pua si wingi wa kamasi
Huyu ana 7.4Hashimu ana 7.3"
Kijana aliyejulikana kwa Jina la Baraka amekosa Matibabu hosipitali ya Muhimbili kitengo cha Mifupa- MOI.
Kijana huyo ana matatizo ya muguu, Madaktari wameshindwa kumuhudumia huyo mgonjwa aliyeonekana kubembea kwenye magongo mawili.
Bwana Baraka ana urefu wa futi nane, hivyo imeoneka hakuna accessories, yaana vyuma vya kumsaidia kuunga mguu wake kwenye nyonga kutokana na urefu wake, pia Kitanda kimekosekana kirefu sawa na urefu wake kumlaza.
Hivyo Bwana Baraka atalazimika kwenda nje ya Nchi kwa ajili ya matibabu.
Raia waliokuwepo walionekana kumshangaa maumbile yake ya urefu, nayeye akasema anawashangaa walivyo wafupi.
Chanzo: ITV Habari.
Usimshangae Jo kufa pale na anakiri pale alipenda huko kwingine ni zuga tu. Ila hako kauzoefu ninako sina urefu huo japo mm ni mrefu ila ukidate na binti wewe ndio umuache sio yeye sijui kuna nini kipo hapo.Dah Joketi
Joketi si wa mchezo.Dah Joketi
mrefu aiseeHuyo jamaa atakuwa ni mrefu kila mahali
Hata miss chagga anajua.
Usishangae ni mpareJamaa mrefu sana sijui ni kabila gani.
itakuw midudu yenu mirefu sanaUsimshangae Jo kufa pale na anakiri pale alipenda huko kwingine ni zuga tu. Ila hako kauzoefu ninako sina urefu huo japo mm ni mrefu ila ukidate na binti wewe ndio umuache sio yeye sijui kuna nini kipo hapo.
Ww kweli mzaramo.... huish maneno.. eti ana kibamia.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]unaweza kushangaa jamaa ni Kibamia
Kamsome alichoandikaMdau nadhani anazungumzia kupata matibabu.