Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,529
Kijana aliyejulikana kwa Jina la Baraka amekosa Matibabu hosipitali ya Muhimbili kitengo cha Mifupa- MOI.
Kijana huyo ana matatizo ya muguu, Madaktari wameshindwa kumuhudumia huyo mgonjwa aliyeonekana kubembea kwenye magongo mawili.
Bwana Baraka ana urefu wa futi 7.4, hivyo imeoneka hakuna accessories, yaana vyuma vya kumsaidia kuunga mguu wake kwenye nyonga kutokana na urefu wake, pia Kitanda kimekosekana kirefu sawa na urefu wake kumlaza.
Hivyo Bwana Baraka atalazimika kwenda nje ya Nchi kwa ajili ya matibabu.
Raia waliokuwepo walionekana kumshangaa maumbile yake ya urefu, nayeye akasema anawashangaa walivyo wafupi.
Chanzo: ITV Habari.