Akosa matibabu MOI kutokana na urefu wake

Akosa matibabu MOI kutokana na urefu wake

Dah.....ahudumiwe...vizuri jamaaa mana anaweza kujipatia hela baadae ...kwakua tourist attraction
 
The down length is inversely propotional to ones height. The higher one's height the shorter the down length. Ogopa vijitu vifupi, sehemu hizo zinaweza zikawa below knee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo maana siichoki JF
 
Hii ngoma ni tall kuliko unavyoiona kwenye picha.Namuombea kwa Mungu apate muafaka wa kutibiwa na kurudi ktk hali yake.Mara ya kwanza kukutana nayo ilikuwa 2009 ilinikuta ndani ya ofisi moja hapo dsm nusura nitoke baruti baada ya kumuona akinesa nesa kutumbukia ndani ya ofisi baada ya kuinama kwenye mlango wa ft 7hv. Ilibidi niihoji inamudu vp kusimama kwenye dldl maana ilinieleza inaishi gongo la mboto nayo ilidai mara nyingi huwai nafasi ya kiti cha nyuma Dcm na kukaa eneo linaloruhusu kukunja miguu yake na niile sehemu ya ktkt ya kiti hicho.Huyu jamaa ni tall maana ana uwezo wa kuinama ili aone sehemu ya juu ya toyota hiace .ukikutana nayo mida ya night waweza kimbia kwa kudhani umekutana na jini.Serkali imsaidie tafadhari na akipata nafasi ya kwenda nje atafute namna ya kusepa baada ya matibabu maana anaweza pata fursa kwa urefu alionao kiasi ca kuambulia hata nafasi kwenye kitabu cha guiness.
 
Yaani inamaana hakuna namna nyingine ya kuwasaidia..!?
 
Sasa kama huyu ni 7.4 inakuwa hivi nimejaribu ku Google kuna mtu alikuwa na 8.11 yaani hiyo top ten yao ni kuanzia 8.2 mpaka 8 11hiyo kitu sio mchezo jamaa nae kibongobongo ni mrefu
 
lirefu hilooo!sijui alikua wapi kuingia kwenye basket
1479385816980.jpg
 
Daah, huyo Jamaa anatisha kweli. Yaani naingia mara moja na nusu kwake.
 
urefu na ufupi unaangalia umesimama na nani.. Huyo akienda uholanzi ni mbilikimo tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom