Akosa matibabu MOI kutokana na urefu wake

Akosa matibabu MOI kutokana na urefu wake

Kamselemu hata kwenye kwapa hakafiki dah ni mrefu balaa japo jamaa caption wamempa tofauti na jina la Baraka
 
Sasa mbona tunataka tumpeleke India mkuu? Atapanda ndege gani? Ngoja tumuulize Ezekiel Maige atupe uzoefu wa kusafirisha viumbe hai warefu kama hawa maana alipakia twiga na kwa Baraka atasaidia tu
Mkuu tutamkodishia dege lile la mwarabu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom