Akina dada mkishazitumia pads chomeni moto

Akina dada mkishazitumia pads chomeni moto

Uyo le mbebez ndio nan tena jaman

Mtu mzima mmoja hivi anayeongoza kwa kuchambwa humu...yani yule mvumilivu hatari...
Itabidi tukuozeshe ukae nae walau mwezi mmoja akuambukize uvimilivu..

Na anavyopenda super bebez wakaree kama wewe...lazima utoke umeivaaa....
 
Mweheee mbona ntashindwa yani mi somo la uvumilivu nlipata z kabisaa........yan anachambwa yumo tu duh uyo kiboko
 
Mweheee mbona ntashindwa yani mi somo la uvumilivu nlipata z kabisaa........yan anachambwa yumo tu duh uyo kiboko

Tena na binamu yangu warumi inabidi akasome kwa le mutuz nae si mvumilivu kabisaaa
 
Last edited by a moderator:
Le mutuz le baharia le super handsome u know....

shost unatisha kwa umbea huyu binamu warumi anakuharibu,habari za pedi hazipo tena,jamani nawasoma nacheka mwenyewe.

Cc kim nana,kiziboo
 
shost unatisha kwa umbea huyu binamu warumi anakuharibu,habari za pedi hazipo tena,jamani nawasoma nacheka mwenyewe.

Cc kim nana,kiziboo

Chezeaaaa siee warumi anataka kunirithisha,angekuwepoo huu uzi ungepoteaa kabisaa hhhhha umbea mtamu kusutana rahaaaaaaa heheeee
Halaf mbona pm yangu hujanijibu toka majuziiii una tatizo gan
 
shost unatisha kwa umbea huyu binamu warumi anakuharibu,habari za pedi hazipo tena,jamani nawasoma nacheka mwenyewe.

Cc kim nana,kiziboo

Hahahaaa...hizo habari za pedi tupa kule.
Haya matatizo mengine tumeyakaribisha baada ya kudharau mila zetu na kukumbatia uzungu...
Jando na unyago virudishwe uone kama haya yatakuwepo...
 
Dadeki zenuu..nyinyi wadada mbona mmehijack huu uzi bana? Acheni kututoa kwenye hoja ya msingi...!
 
Kuna Pedi Mpya Nimeziona Japo Zina Bei Kidogo Ila Ni Nzuri na Zinasaidia Kumweka Mtu ktk Hali Ya Usafi Na Hata Nanihii Zao Hazitoi Kipafyumu a.k.a Harufu. Zenyewe Hazivaliwi Bali UNAISOKOMEZA TU KUNAKO PAPUCHI Kisha Ikiishaingia Huko Na Kukaa Sawa Sawa INAJITANUA NDANI KWA NDANI TAYARI KUKUSANYA ULE UCHAFU KISHA INAJIKUNYATA Tayari Kwa MUHUSIKA KUITOA na Ni USER FRIENDLY. Zipo Sana ktk Pharmacies Za Washua Wakati USWAZINI MWENDO NI ALWAYS, JASSY na ENJOYS.

Hazishauriwi kutumia hizi na zina madhara kiafya.. zinaitwa tampoon..

Aidha hata hizo za kawaida zina madhara pia kiasi kwamba unaweza tamani kurudia vitu vya awali
 
Haiwahusu, haya ni mambo ya kike

Sasa kama hayatuhusu kwa nn mnayatupa ovyo na kutufanya kuyakodolea macho maped yenu?

Wengi wenu mmekosa elimu ya kijinsia/ujana kwa kulazimisha balehe,hamkai na wakubwa zenu mkafunzwa jins ya kujitunza mara tu mnapo balehe,wengin mnamaliza mitaa kwa kuzurura bila kujua menstrual cycle zenu,hujabeba ped hata leso kama akiba wewe na iPhone mkonon,sas unapoanza kuvuja ukiwa njian unagwayagwaya. Kaeni na wakubwa achen kujifanya mnajua sana..
 
Chezeaaaa siee warumi anataka kunirithisha,angekuwepoo huu uzi ungepoteaa kabisaa hhhhha umbea mtamu kusutana rahaaaaaaa heheeee
Halaf mbona pm yangu hujanijibu toka majuziiii una tatizo gan

mwenzangu majanga,sikuiona lakini nshakujibu.
 
Back
Top Bottom