Hahaaaaa nayatungaga lol......saiv nmeamua kua mtakatifu ndio maana nmebadil id
Yani wewe mtoto hivi upogo jamani?Mbona umenichunia hivyo kama tumegombana jamaniiii????
Hhhhhaaaa,mi ndugu yangu Shehazarde atatimba humu soon
Hahahaaaa mm uyuuyu shoga naona umeweka pichaa yakoo unavutiajee hehehee wsnye sura ka nyuma ya sufulia iliopikiwa kwenye kuni tutakomaa maana kaa tunapuliza moto vilee
Afu asubuh nlikuona nikataka ni ku quote cjui nikasahau nn......nlitaka kukuanzishia uzi ujue yan unapotea ivo ndio nn lol
Eeee shoga nimeona nijiwekeee nawe weka ile yako basiii chezeaaaaa we kama yako nugayembe weka tu mama tukuzoeee hhaaahaaa, ulikua wapiii wenzio wakati tunapewaa u cute teh te
Kiziboo ni tumboo kabadili id
We nae acha umbea dume zimaa ovyooo
Hhhhhaaaa,mi ndugu yangu Shehazarde atatimba humu soon
Nilijua tu wakati ushasema umeachaaa
Huyu itabidi tumuozeshe Le mbebez ili amfundishe uvumilivu wa maneno ya shombo u know....
Mi.mwenyewe je soon nitakuja na style nyingine