Akina dada mkishazitumia pads chomeni moto

Umenichekesha kwelii umeamua kujiita kiziboo hhhhaa we nomaaa,

Shost we nyo.ko...umeamua kuweka picha yako ili uturushe roho sisi tuliofanana na baba zetu...haya bwana we ni mcute.....mtoto mashallah...

Halafu huyo Kiziboo ndo nani...umbea uwito jamani...
 
Last edited by a moderator:

Eeee shoga nimeona nijiwekeee nawe weka ile yako basiii chezeaaaaa we kama yako nugayembe weka tu mama tukuzoeee hhaaahaaa, ulikua wapiii wenzio wakati tunapewaa u cute teh te
Kiziboo ni tumboo kabadili id
 
Nani aweke? siweki hata nipigwe fimbo...na hii sura nlorithi kwa mjomba....!!! Khaa siweki...
Ila we mtoto Mzuri Wallahi....vipi neema zipo hapo kati?
 
Kama kawaidaaaaa memeeeee tenaaaaa alaaaa
Aaa weka tu bana we nani alikuambia urithi huko badala urithi kwa kina shangazi na mamdogo
 
Ngoja niombe ruhusa kwa Docta kwanza....ila hii sura kama nataka kupiga chafya...mhhh....
 
Hahahaaaa mm uyuuyu shoga naona umeweka pichaa yakoo unavutiajee hehehee wsnye sura ka nyuma ya sufulia iliopikiwa kwenye kuni tutakomaa maana kaa tunapuliza moto vilee

Hhhhhaaaa umeanzaaa kunichekesha aiseee ,Umeamini Mungu Fundi eeee
 
Ngoja niombe ruhusa kwa Docta kwanza....ila hii sura kama nataka kupiga chafya...mhhh....

Hhhhaaaaaa,mi.sijaomba ruhusa msukuma akiingia kuona liwalo na liweeeee kwi.kwiii
 
Back
Top Bottom