Akina dada mkishazitumia pads chomeni moto

Akina dada mkishazitumia pads chomeni moto

Hadi umegundua wanarudishia used pad kwenye begi atakuwa mkeo au dada ako, polee hamna dustin au choo cha shimo au kiberiti hapo nyumbani kwenu, uuh nyumba yenu itakuwa inanukia uvundo wa used pad, pole sana kwa stress za uvundo, ndomaana umewaka hivo kumbee...

hamna mkuu hii kitu nilishwahi kuja kuuliza hapa. na niliona kwa dada ambaye alikuwa amepata matatizo ya kuzimia wakati watu wakitafuta contact za ndugu wa mzimiaji ndio wakatoa pedi zilizotumika. kwahiyo haya mambo wala hayatokei ndani ya nyumba yangu mkuu.
 
Anaetaka ped zilizotumika hata kama tani tano aje Kiseke PPF, Mwanza. Hhuko zinatupwa tu na mbwa hujipatia mlo, na matokeo yake karibu nusu ya mbwa wa Kiseke wanaumwa ukurutu, wengine hawanya manyoya wamebaki ngozi tu kama kambale. Karibuni Kiseke PPF!

Na tunaelekea kipindi cha mvua huwa yakiloana ndio kabisa yanaleta tabu
 
Back
Top Bottom