Sasa kama hayatuhusu kwa nn mnayatupa ovyo na kutufanya kuyakodolea macho maped yenu?
Wengi wenu mmekosa elimu ya kijinsia/ujana kwa kulazimisha balehe,hamkai na wakubwa zenu mkafunzwa jins ya kujitunza mara tu mnapo balehe,wengin mnamaliza mitaa kwa kuzurura bila kujua menstrual cycle zenu,hujabeba ped hata leso kama akiba wewe na iPhone mkonon,sas unapoanza kuvuja ukiwa njian unagwayagwaya. Kaeni na wakubwa achen kujifanya mnajua sana..
Kaka vipi,mbona mkali hv?