Akina dada mkishazitumia pads chomeni moto

Akina dada mkishazitumia pads chomeni moto

Honestly hatuwezi kulikwepa hilo baadhi yetu si wastaarabu, sina jibu la moja kwa moja kwanini watupe hovyo cha msingi TUTAJIREKEBISHA KAKAZETU moyo wangu unasononeka sana na hii fedheha sijui wadada wenzangu wanafeel aje over this.
 
Wengine wanatupia chooni, vyoo vinaziba.
 
Watakuwa wamekusikia tu mkuu, naamini watajirekebisha.

Uswazi Kwetu Nakutana Nazo Sana Tu Zikiwa Zimezagaa Na Nyingi Zikiwa Mbichi Kwa Blood. Dada Zetu Wa Siku Hizi Wengi Wao Hawana Kabisa Maadili na Hizo Pedi Zao Na Hawana Hata Aibu ktk Kuzihifadhi. Mtoa Mada Kwa Hili Umetukuna Wengi Na Hapa Tunawapa Makavu Yao Live...............!
 
ssasa usiombe usafiri mmefika mgahawa mmeshuka wengine wameenda haja ndogo jamani usiombe kuna wanawake wachafuuuu !!!!
yaani kero kero kero!!!
 
Honestly hatuwezi kulikwepa hilo baadhi yetu si wastaarabu, sina jibu la moja kwa moja kwanini watupe hovyo cha msingi TUTAJIREKEBISHA KAKAZETU moyo wangu unasononeka sana na hii fedheha sijui wadada wenzangu wanafeel aje over this.

Kwa Waelewa Kama Wewe Ndiyo Imekugusa Na Umeumia Ila Kwa MIPOPOMA Ni Mbele Kwa Mbele Kanyaga Twende.
 
ssasa usiombe usafiri mmefika mgahawa mmeshuka wengine wameenda haja ndogo jamani usiombe kuna wanawake wachafuuuu !!!!
yaani kero kero kero!!!

Kuna Pedi Mpya Nimeziona Japo Zina Bei Kidogo Ila Ni Nzuri na Zinasaidia Kumweka Mtu ktk Hali Ya Usafi Na Hata Nanihii Zao Hazitoi Kipafyumu a.k.a Harufu. Zenyewe Hazivaliwi Bali UNAISOKOMEZA TU KUNAKO PAPUCHI Kisha Ikiishaingia Huko Na Kukaa Sawa Sawa INAJITANUA NDANI KWA NDANI TAYARI KUKUSANYA ULE UCHAFU KISHA INAJIKUNYATA Tayari Kwa MUHUSIKA KUITOA na Ni USER FRIENDLY. Zipo Sana ktk Pharmacies Za Washua Wakati USWAZINI MWENDO NI ALWAYS, JASSY na ENJOYS.
 
kutumia tumieni mana ndo haki yenu ila ustarabu uwepo kwnye mazngira tunaishi.
Sidhani kama kuna mschana au mwanamama ajisetiri halafu atupe mahala pa wazi, mfano wa maofisini huweka kwenye special dustbins, nyumbani ambao hawana vyoo vya shimo hufunga vizuri used pad kwenye karatasi na kuweka kwenye dustbin ya nje kisha mmwaga mataka anaenda yamwaga kunako husika, hii inatumika kwa wasio na jalala hasa tunaokaa kwenye apartments so wazoaji hawataona pad wataona karatasi imeviringishwa. Issue inakuja wamwaga takataka wanamwaga taka barabarabi na upenuni na wengi wa wamwaga taka hz toka majumbani ni vijana wa kiume. Sasa kuna watoto auvijana wanaopekua matakataka kupata chochote kitu kitachowafaa matokeo yake wanafunuamakaratasi ya pad labda wakidhani ni fundo la hela wakikutana na used pad wanarusha huko pengine karibu kabisa na barabara ndo hapo wewe kijana msafi unakutana nazo. Umeelewa!! Shida pia iko kwenye nyumba zisizo na jalala wala choo cha shimo wala wazoa mataka, hapo urahisi wa kuzikuta huko unakoziona upo.
 
Kumbe na wewe ni mtumiaji oohh, wewe huwa unachoma au unatupa kwenye dustbin?

Nazitafuna! POPOMA Mkubwa Wewe. Na Nahisi Hata Msura Wako Umefanana Na Pedi ILIYOKWISHA TUMIKA! Na Inaonekana Wewe Ndiyo Wale Wale FULL UCHAFU PAPUCHINI.
 
Nazitafuna! POPOMA Mkubwa Wewe. Na Nahisi Hata Msura Wako Umefanana Na Pedi ILIYOKWISHA TUMIKA! Na Inaonekana Wewe Ndiyo Wale Wale FULL UCHAFU PAPUCHINI.

Hahahahaa pole sana mbona umetoka povu hivo, watumia pad wenye mzuka kama wako wanakuwaga wa motoo. Mkuki mtamu kwa nguruwee eeh
 
Kuna Pedi Mpya Nimeziona Japo Zina Bei Kidogo Ila Ni Nzuri na Zinasaidia Kumweka Mtu ktk Hali Ya Usafi Na Hata Nanihii Zao Hazitoi Kipafyumu a.k.a Harufu. Zenyewe Hazivaliwi Bali UNAISOKOMEZA TU KUNAKO PAPUCHI Kisha Ikiishaingia Huko Na Kukaa Sawa Sawa INAJITANUA NDANI KWA NDANI TAYARI KUKUSANYA ULE UCHAFU KISHA INAJIKUNYATA Tayari Kwa MUHUSIKA KUITOA na Ni USER FRIENDLY. Zipo Sana ktk Pharmacies Za Washua Wakati USWAZINI MWENDO NI ALWAYS, JASSY na ENJOYS.

Mbona nasikia sio nzuri hizoo za kudumbukiza ndani ya k,mi naona cha muhimu ni kubadili kila saa pedi usikae nayo muda mrefu,hata HQ ni nzuri pia
 
Tena sasa hivi nimetoka kukanyaga pedi barabarani.
 
Back
Top Bottom