Akili ya mwanadamu inajulikana kwenye mazingira ya chooni tu si kwengine

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,418
Hii code nimepewa na watu wenye elimu za kujua ulimwengu.
Ndio maana kwa waislamu unapotaka kuingia kuswali au kuzikwa inabidi kuwa msafi.

Ukitaka kujua mapungufu ya akili angalia vyoo vilivyo ndio utajua hawa watu ndio akili zao.

Hata kama kutakuwa na vyoo vizuri kama kutakosa usafi ni yale yale.

Kwa nini wazungu waje kutusaidia kujenga vyoo kwanza
IMG_1383.jpeg
IMG_1382.jpeg
 
View attachment 3337895View attachment 3337897
Hicho siyo kipimo cha akili ila ni kipimo cha uchumi. Wengi wanatamani kuwa na nyumba na vyoo bora ila uchumi hauwaruhusu so shida hapo ni pesa na si akili. Lawama wapewe CCM wanaodumaza uchumi wa nchi.
 
Choo sio nyumba yenye kutumia pesa kama unavyofikiri
 
Hicho siyo kipimo cha akili ila ni kipimo cha uchumi. Wengi wanatamani kuwa na nyumba na vyoo bora ila uchumi hauwaruhusu so shida hapo ni pesa na si akili. Lawama wapewe CCM wanaodumaza uchumi wa nchi.
Sahihi kbsa
 
Hii code nimepewa na watu wenye elimu za kujua ulimwengu.
Ndio maana kwa waislamu unapotaka kuingia kuswali au kuzikwa inabidi kuwa msafi.

Ukitaka kujua mapungufu ya akili angalia vyoo vilivyo ndio utajua hawa watu ndio akili zao.

Hata kama kutakuwa na vyoo vizuri kama kutakosa usafi ni yale yale.

Kwa nini wazungu waje kutusaidia kujenga vyoo kwanza
View attachment 3337895View attachment 3337897
Chai
 
Hicho siyo kipimo cha akili ila ni kipimo cha uchumi. Wengi wanatamani kuwa na nyumba na vyoo bora ila uchumi hauwaruhusu so shida hapo ni pesa na si akili. Lawama wapewe CCM wanaodumaza uchumi wa nchi.
Nakazia
 
Ofisi nyingi tu za serikali na vyuo vikuu vingi vyoo vyao ni vibovu sana kutokana na matumizi ya hovyo pamoja na kutokutunzwa.
 
Watu wengi wanaokuwa vyuoni na maofisini wanatokea kwenye jamii zenye maisha duni, wachache wanaotoka familia zenye uwezo na elimu ya mazingira. Hivyo mchanganyiko wa wasio na uelewa wa matumizi ya vyoo na wenye uelewa kama ratio ya wasiokuwa na uelewa ikiwa kubwa kuzidi wenye uelewa usishangae kuona vyoo vichafu sehemu ambapo unategemea viwe visafi. Lakini pia matumizi ya vyoo vya shimo na ukosefu wa maji vyooni inaweza kuwa vinachangia kwa kiasi kikubwa uchafu kwenye vyoo.
 
Shule O level na A level nilizosoma zote vyoo ilikuwa shida tupu.

Ilikuwa unaingia chooni baada ya kuvua nguo zote ili kuepuka harufu kubaki nguoni japo mwilini hubaki.

Katika moja ya hizi shule chooni tulikuita half mile.

Vyoo vya JKT niliyo pitia vilikuwa vya kawaida lakini vyenye usafi wa hali ya juu sana. Hongera kwa mamlaka za jeshi-JKT.

Ukweli mamlaka za shule na nyinginezo zithamini ubora, usafi na usalama wa vyoo vya jumuia. Haiwasaidii wanajumuia husika kujifunza chochote kwa kujisaidia mahali pachafu na dhalili.
 
Back
Top Bottom