Nilikuwa manager sehemu hata 1m sipati..Manager angalau,, nahisi anapesa ndefu...
duuh! sasa mwenye matumizi kama hayo ni bachela au mtu na familia yake ?Kodi ya nyumba =150,000/-
Chakula = 200,000/-
Usafiri/Nauli = 75,000
Umeme/Maji = 20,000
Kusomesha watoto = 250,000/-
Sadaka = 15,000/-
King'amuzi = 28,000/-
Vifurushi vya simu/Muda wa maongezi = 15,000/-
Perfumes/Sabuni/manukato = 25,000/-
Akiba = 22,000
Hapo hujanunua shati,suluali, Mkanda, Kiatu kizuri
Hujaombwa mchango na jamaa zako kwaajili ya harusi/kitchen part/kipaimara n.k
Vijana, ila kama hutakuwa na biashara binafsi sio rahisi kutoboa kwenye haya maisha 🙌
Wakienyeji hawana,, expenses kubwa sana....Au sio ?
Huyu ni mwenye familia kabisa...duuh! sasa mwenye matumizi kama hayo ni bachela au mtu na familia yake ?
Tatizo ulikimbia hesabu mkuuHivi kuna kitu gani behind ajira.? unakuta mtu analipwa 800k kwa mwezi lakini anamaisha magumu ndy nn sasa.?
Alie na ufafanuzi mzuri anieleweshe... si kwa miezi miwili tu hapo unakua na 1.6M × 10 miezi = 16M kwa mwaka😀
Nifundishe 😀Tatizo ulikimbia hesabu mkuu
Kwani hiyo hesabu ya milioni 16 umeipataje we kijana?Hivi kuna kitu gani behind ajira.? unakuta mtu analipwa 800k kwa mwezi lakini anamaisha magumu ndy nn sasa.?
Alie na ufafanuzi mzuri anieleweshe... si kwa miezi miwili tu hapo unakua na 1.6M × 10 miezi = 16M kwa mwaka😀
800k kwa mwaka ni milion 9.6MNifundishe 😀
Ooh! 😯800k kwa mwaka ni milion 9.6M
Nilikua wrong,, ahahahaha..Kwani hiyo hesabu ya milioni 16 umeipataje we kijana?
Miezi 10x80,0000/= unapata milioni nane
Miezi 12 unapata milioni 9600000/=
Sasa tukisema huko shuleni ulienda na hakujakusaidia itakuwa ni kosa kweli?
sas uyo hakujipanga fresh kama anaweza kuhudumia familia vizur + kodi 150,000, angeweza jenga ya kwake kabla !Huyu ni mwenye familia kabisa...
Hauna wazazi,walezi je ndugu ,wadogo zako ,naona haya unayaandika ukiwa kwa ndugu yako au kwa shemeji ,think out of boxhakika, sasa 800k hamna anayekutegemea, na nd umemaliza chuo !
hujanielewa mkuu, namaanisha huyo anayekopa milion 200 na nd amemaliza chuo na analipwa 800k !!!!Hauna wazazi,walezi je ndugu ,wadogo zako ,naona haya unayaandika ukiwa kwa ndugu yako au kwa shemeji ,think out of box
Kuna watu wana familia, na wanalipwa hayo malipoduuh! sasa mwenye matumizi kama hayo ni bachela au mtu na familia yake ?
🫡👊hujanielewa mkuu, namaanisha huyo anayekopa milion 200 na nd amemaliza chuo na analipwa 800k !!!!
Au mama mdogo wao watoto wake wanakula mbuzi choma.Achana na mambo ya mzee wako, hapo ni kwake anajua namna ya kupaendesha.
Usi shangae anakula kuku usiku
sasa apo kwa bachela angeweza punguza matumizi, si anakuwa na matumizi sawa na mtu mwenye familia, mfano kulipia kodi atleast 50k kwa mwezi aweze jenga yake kabla majukumu mengine kuongezeka !Kuna wengine ni bachela na wanalipwa hicho kiasi pia
advantage ya asiye na familia, atakuwa na akiba nyingi kwani zaidi ya shilingi 250,000 niliyoi-address kama ada itatumika kwenye akiba
Kupanga ni kuchagua, ukiweza kujipanga vizuri unaweza kupata nafuu kidogo ukaweza hadi kufanya savingssasa apo kwa bachela angeweza punguza matumizi si anakuwa na matumizi sawa na mtu mwenye familia, mfano kulipia kodi atleast 50k kwa mwezi aweze jenga yake kabla majukumu mengine kuongezeka !
Hajakosea...maisha ndivyo yalivyoAhahahaha! - nifundishe nisije nikakosea kama ww😀
Kwa hiyo unataka akale wapi🤣Mm sikufichi,, mzee wangu ni mwalimu wa sekondari lakini tunashindiaga uji nyumbani...