Mkuu, hiyo hela ni side hustle mpaka ulimbikize 16M per year, umekula, umevaa, umelipa Kodi, matumizi je? Bado Kuna hela ya dharura, Bado kama ni mwanaume ufacilitate demu. Hiyo 16m inatoka mbinguni?Mm ni boy!
Bro, nimetolea mfano 16M iwe kisukuma siku kweli.?
Michezo ya crdbNa Kuna makato ya benki,, ukiweka 500k unakuta imejikata automatic 😀
Biashara gani ya kukupa 4M as faida kila mwezi kwa sasa?😂Duuh!,, kwahy bora nn sasa kujiajiri au.?
Kuna walimu,, intentional tena hawo wapoje.?🤣Ndio international waanalipwa mpaka 10m mdogo’etu
Kota kwani kodi si lazima ila itakuwa ndogo, ukiataka kusave uwe kijijini uko chaka mshahara unaingia ila mtumiz kidgo sana mjini mmh ata ulipwe 2mlJe ukikaa kota,, kwa mfano 😀
Labda ufugaji!Biashara gani ya kukupa 4M as faida kila mwezi kwa sasa?😂
Nyoolo😂Kuna walimu,, intentional tena hawo wapoje.?🤣
Lakini si utakua,, umesave Kodi ya nyumba 😀Kota kwani kodi si lazima ila itakuwa ndogo, ukiataka kusave uwe kijijini uko chaka mshahara unaingia ila mtumiz kidgo sana mjini mmh ata ulipwe 2ml
Hio process ya kuanza kuingiza hio hela ni lini na upo tayari kuwa mvumilivu?Labda ufugaji!
🤣Nyoolo😂
Labda kivuli mi sishangai mtu akisema sina kitu na huku ameajiriwa najuwa anayopitiaMkuu, hiyo hela ni side hustle mpaka ulimbikize 16M per year, umekula, umevaa, umelipa Kodi, matumizi je? Bado Kuna hela ya dharura, Bado kama ni mwanaume ufacilitate demu. Hiyo 16m inatoka mbinguni?
Kama mshahara wa 800,000 kwa mwezi unadai kwa mwaka mtu anakuwa na milioni 16 basi nikwambie hivi, ukiajiriwa hadi utavaa nguo zimetoboka makalioni.Hivi kuna kitu gani behind ajira.? unakuta mtu analipwa 800k kwa mwezi lakini anamaisha magumu ndy nn sasa.?
Alie na ufafanuzi mzuri anieleweshe... si kwa miezi miwili tu hapo unakua na 1.6M × 10 miezi = 16M kwa mwaka😀
Kwa mfano ufugaji wa kuku wa kienyeji,, uvumilivu ni miezi mitano tu au sita unaanza kula hela isiyo na makato na soko ni uhakika 📌Hio process ya kuanza kuingiza hio hela ni lini na upo tayari kuwa mvumilivu?
Nyie ndio vipindi vya hesabu mlikua mnasugua mbegu za ubuyu alafu mnawaunguza wenzenu hahahhaHivi kuna kitu gani behind ajira.? unakuta mtu analipwa 800k kwa mwezi lakini anamaisha magumu ndy nn sasa.?
Alie na ufafanuzi mzuri anieleweshe... si kwa miezi miwili tu hapo unakua na 1.6M × 10 miezi = 16M kwa mwaka😀
Ajira ni utumwaLabda kivuli mi sishangai mtu akisema sina kitu na huku ameajiriwa najuwa anayopitia
Sio rahisiKwa mfano ufugaji wa kuku wa kienyeji,, uvumilivu ni miezi mitano tu au sita unaanza kula hela isiyo na makato na soko ni uhakika 📌
Ahahahaha!,, hesabu kali imepigwa hapo 🤣Nyie ndio vipindi vya hesabu mlikua mnasugua mbegu za ubuyu alafu mnawaunguza wenzenu hahahha
Ahahahaha!,, hesabu kali imepigwa hapoNyie ndio vipindi vya hesabu mlikua mnasugua mbegu za ubuyu alafu mnawaunguza wenzenu hahahha
Kivipi sasa.?Sio rahisi
🤣Ajira ni utumwa
Hizo gharama za kuhudumia mpaka wakue,magonjwa sijuiAhahahaha!,, hesabu kali imepigwa hapo
Kivipi sasa.?