Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,740
- 14,920
Duuh!,, kwahy bora nn sasa kujiajiri au.?Maisha hayana formula, kuzaliwa familia inayo kutegemea sio mpango wako.
Mafuta yakipanda bei sio matakwa yako, na gharama za maisha zikipaa sio kwa utashi wako.
Kuwa uyaone mwanangu
Sa we ukipata 200M unataka nini tena?Duuh!,, ukikopa si ndy unajiingiza kwenye kutumika deni miaka mingi😀
Na huo mshahara,, mwalimu anaweza kulipwa.?800k unaona ni mshahara huo? Hela ya posho ya usafiri kwa baadhi ya watu.
Mshahara kbs wa kukaa mbele za watu ukajinasibu unalipwa Mshahara ni kuanzia 4m kwenda juu not otherwise
Bora uolewe mwanetuDuuh!,, kwahy bora nn sasa kujiajiri au.?
Ahahahaha!Sa we ukipata 200M unataka nini tena?
Mm ni boy!😀Bora uolewe mwanetu
Mm ni boy!Bora uolewe mwanetu
Bro, nimetolea mfano 16M iwe kisukuma siku kweli.?Inatosha kisukuma siku, unaishi vizuri tu kama Hauna majukumu mengi
Ahahahaha!Achana na mambo ya mzee wako, hapo ni kwake anajua namna ya kupaendesha.
Usi shangae anakula kuku usiku
Bora kwako ni kufanya kile unacho kipenda na kitakachokua na kipato kuliko kingineDuuh!,, kwahy bora nn sasa kujiajiri au.?
Aaah so kweli..Hee,,😀 na ukiwaambia mm nitoleeni hii mifumo ya bima siuguagi ovyo🤣
Nilikua nikijiuliza sana,, hili swali ujue 800k kwa mwezi ni hela kabisa😀Bora kwako ni kufanya kile unacho kipenda na kitakachokua na kipato kuliko kingine
Je ukikaa kota,, kwa mfano 😀Ukiajiriwa utajua kumbuka mshahara haukutani, tena usiombe kazi unavyoingia ndo unavyotoka aahh utoboi hasilani, nauli kwenda na kurudi unakuta 3k,chai asubh 2k, vocha2k ,chakula mchana 3k, kodi kwa siku unapokaa ni labda 3k jumla 15k kwa siku lazima itumike apo kumbuka upo bachela huna mtoto kwa mwezi ni 450k matumiz ya lazima hapo bado emejency bado makato, umeme, maji, kingamuzi, 500k inakatika unabaki na 300k ndo ujikaze usave hapo bado ujaweka mademu
Ndio unalipwa vizuri tuNa huo mshahara,, mwalimu anaweza kulipwa.?
Ahahahaha!🤣Aaah so kweli..
View attachment 3591099
4M .?Ndio unalipwa vizuri tu
Na Kuna makato ya benki,, ukiweka 500k unakuta imejikata automatic 😀Ukiajiriwa utajua kumbuka mshahara haukutani, tena usiombe kazi unavyoingia ndo unavyotoka aahh utoboi hasilani, nauli kwenda na kurudi unakuta 3k,chai asubh 2k, vocha2k ,chakula mchana 3k, kodi kwa siku unapokaa ni labda 3k jumla 15k kwa siku lazima itumike apo kumbuka upo bachela huna mtoto kwa mwezi ni 450k matumiz ya lazima hapo bado emejency bado makato, umeme, maji, kingamuzi, 500k inakatika unabaki na 300k ndo ujikaze usave hapo bado ujaweka mademu
Ndio international waanalipwa mpaka 10m mdogo’etu4M .?