Komando tamimy
Senior Member
- Nov 18, 2020
- 108
- 121
Kulikuwana ajira 5000 ambazo tulizoaahidiwa na Hayati Magufuli aliyekuwa Rais wetu mpendwa muda ukayoyoma na zikapotea bila majibu ya kueleweka mara wamesharipoti in PM voice bungeni nayo ikapita.
Kipenzi chetu Mungu akamchukua kazi ya Mungu haina makosa (RIP Rais Magufuli)
Tukaja mama yetu muongoza dira akasema anataka walimu 6,000 waajiriwe haraka as replacement kwa waliostaafu na waliokufa, hamna kilichofanyika sijui tatizo nini sijui hawaelewi maagizo ya mkuu wao.
Wenye dhamana wamebaki wanazurura hawaelewi nini wafanye.
Wizara ya TAMISEMI imekuwa kubwa, nashauri ingegawanywa hata zikawa 2 vinginevyo Waziri anafanya mark time.
Tena zimekuja nyingine ajira 12000 za bajeti mbona hatuelewi sasa tushike lipi tuache lipi!? Au ndio kuwaaambia waalimu wanywe maji kwanza sukari ipo chini?
Jana tena amesikika waziri akisema ajira 10000 za waalimu hivi karibuni. serikali zetu za kiafrika kwanini hazina muunganiko?! Kila waziri anaongea anavyojisikia?
Serikali ikijikite katika kutekeleza ahadi zake kwa vijana wengi wamebaki njiapanda.