Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 63,603
- 107,570
Barabara zipanuliwe njia nne,Hao wote wamefanyishwa mitihani na kuthibitishwa huko LATRA na pia ku-renew leseni zao waliombwa vyeti vya taaluma ya udereva kutoka VETA.
Bila kusahau hayo mabasi yamekaguliwa polisi yana sticker ya Wiki ya nenda kwa usalama.
Uzembe unadhibitiwaje?
Huduma za treni mikoa yote, ni ushamba mkubwa sana karne hii watu wanalazimika kusafiri zaidi ya Km 200 kwa mabasi.