Ajali Morogoro: Gari liliwekewa Mashada ya Maua na abiria waliomboleza ili kukwepa Doria ya Polisi

Ni sehemu moja ambayo kwa dereva anayechukua tahadhali hiyo sehemu ni kama ina mvutano hivi hauelezeki, lakini sio sehemu salama sana kwa nguvu tu za kibinaadam, hiyo sehemu nimekuwa nikipita mwili unasisimka kabisa, yaan unastukia tu ushalizua la kuzua. Kuna vipande huwa siviamini kabisa, mikese- moro, segera- tanga- na kipande cha dumila- gairo, huwa naongeza umakini sana njia hizo,
Ongeza na kipande cha Mikumi to Kilombero
 
izo coaster zikichanganya kule mbele inanesa nesa utamu-utamu hadi raha,

ikiwa mpya ndio kabisa, ngoma inapiga 0 to 60 in 15 seconds

kwa mbaali ukisikilizia pistons zikilalamika kama uko karib na maeneo ya mbele pale

karaha ni hiyo ajali , poleni sana wafiwa
1HZ 6 cylinder ,Diesel engine 4200cc, chuma hicho sawa na V6 Landcuiser .
Pole wafiwa.
 
kufa ni kufa tu haijarishi utakufaje ilimradi zimefika.

acheni lawama !
 
Wakat wa jpm kuna upumbavu mwingi kuliko huo sema aliwalisha wajinga sumu wakamuona ni Mungu mtu !!! Kamfufueni kwa msaada wa gwajima
taja upumbavu mkubwa zaidi kuliko huo na useme pia ulijuaje wakati wengine tukilishwa sumu.

nyie ndio wale wambea mnaojifanya"jamani eh freemason ni siri sana ila wanatoa kafara balaa"ukiulizwa umejuaje,unamalizia na nimeambiwa na jamaa yangu wa huko,
upuuzi.
 
Wamesingizia kusafirisha msiba ....
Na saaa baadhi yao wakageuka kuwa misiba....

Kama yule aliyeigiza kufa na baadaye akawapa taarifa wenzie anajiskia vibaya finally akafa
 
View attachment 1826436

Basi linadaiwa kusababisha ajali jana mkoani Morogoro lilibeba mashada ya maua, dereva aliposimamishwa kwa mwendo kasi alidai Wanawahi Msibani

Taarifa za kuaminika kutoka kwa abiria ni kuwa gari hilo halikubeba maiti na abiria wote waligeuka waombolezaji kila gari liliposimamishwa.

Na taarifa za hivi punde kutoka kwa kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Fortunatus Musilim amesema idadi ya waliofariki dunia imeongezeka kutoka 7 mpaka kufikia 9.

My Take:
Gari ikisafirisha maiti huwa inapewa vibali na kuna nyaraka za kusafiri nazo,JE ZILIHAKIKIWA?, Lakini je Gari yenye maiti inaruhusiwa kukimbia zaidi ya mwendo halali?

Jeshi la polisi msikwepe hili lawama.


====

Watu Tisa wamefariki dunia huku wengine 23 kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupinduka katika eneo la Oil Com Manispaa ya Morogoro.
AJALI-MORO-1.jpeg


Ajali hiyo imehusisha magari matatu gari la Abiria Toyota Coster yenye namba za usajiri T686 DUK, iliyokuwa ikitokea Dar es salaam kuelekea Mbeya, Gari ndogo aina ya Crester yanye namba za usajili T563 ASA pamoja na Lori la Mizigo kampuni ya Dangote.
Acha wafariki kama waliamua kuomboleza msiba wasioujua.
 
inalilah wainaiah rajiun
allah awape makazi mema peponi

nimempoteza rafiki yangu kweny gari ndogo.
 
H
Mwendakuzimu is dead and forgotten, mataga ni Muda sasa mkubali samia ndo rais na amir mkuu wa jeshi
Ww ndio taga usiejua tunafahamu SSH ndie rais wa tz na shujaa wetu mpendwa Mh Dr JPM, may his precious soul rest in eternal peace and power, amen🙏) amerudi nyumbani kwa Muumba! Pia tunajua alikuwa mkweli kwetu watz, siyo kama saleout wengine 🤔! Tunaomba sana Mungu mama yetu huyu SSH atafuata nyayo za mtangulizi wake 🙏!
 
Back
Top Bottom