mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,813
- 105,991
Hao abiria nao ni chanzo cha ajaliDuh aise eti wanawai mazao ndio waomboleze ..hakika mungu adhiakiwi ameona wacha waomboleze vzr
Kutokea
Ova
Hao abiria nao ni chanzo cha ajaliDuh aise eti wanawai mazao ndio waomboleze ..hakika mungu adhiakiwi ameona wacha waomboleze vzr
Kuvunga kwingine hakuna maana walivunga wamebeba maiti kumbe baadhi yao walikuwa wanavutiwa timing ya kuwa maiti kweli.Basi abiria waliyokuwemo ndani nao wazembe
Ova
Wameomboleza yakatokea Majanga kweliKwahio wasafiri wanajifanya wanaomboleza kilio kumbe janja janja
Mwendakuzimu kweli alikuwa mkweli, asubuhi ataropoka maendeleo hayana chama ikifika mchana anageuka na kusema siwezi kupeleka maendeleo majimbo ya upinzani, moto wa milele umuunguze Yule dhalimuH
Ww ndio taga usiejua tunafahamu SSH ndie rais wa tz na shujaa wetu mpendwa Mh Dr JPM, may his precious soul rest in eternal peace and power, amen🙏) amerudi nyumbani kwa Muumba! Pia tunajua alikuwa mkweli kwetu watz, siyo kama saleout wengine 🤔! Tunaomba sana Mungu mama yetu huyu SSH atafuata nyayo za mtangulizi wake 🙏!
Nlsahau bhana, ni 8 8 yes. SorryAcha fix mzee oil com nane nane
Morogoro nanenane sio mikese ni mbali sana na hapo hapo unakaribai msamvu kama mita miambili
binamu sitaki bhana,Wawekezaji wamerud kwa kasi ya 6G, kule majambaz yametolewa jela, huku wachawi na wao wameruhusiwq kunywa Damu hadharan, ccm mbele kwa mbele
Mimi maoni yangu hizi gari pamoja na IT zingeruhusiwa tu kubeba abiria kihali, zinasaidia sana watu, wafanya biashara wa mbeya na Tunduma na wengine wenye haraka na misiba wanafika kwa wakati, huwezui kusema Bus la abiria 60 lipakie usiku likajza, ukiwa mbeya kuanzia saa 9 mchana abiria wa kuja Dr ni wengi, napia mda huo kutoka Dar kwenda Mbeya pia abiria ni wengi. Hiyo ni fursa kwa vijana wetu kupata fursa kujikinu kwa kipato, wangewapa maelekezo machache na kibali kulipia pesa kidoho mtu apakie awe free njani. Kinaulazima gani gari labda Costa au Hiace imetoka bandarini inakwenda Zambia kupitia Tunduma, iende tupu na abiria wapo? Mnatengeneza mchongo tu kwa polisi. Sasahivi IT zimekus chanzo cha mapati kwa polisi njia nzima ya Dar MbeyaView attachment 1826436
Basi linadaiwa kusababisha ajali jana mkoani Morogoro lilibeba mashada ya maua, dereva aliposimamishwa kwa mwendo kasi alidai Wanawahi Msibani
Taarifa za kuaminika kutoka kwa abiria ni kuwa gari hilo halikubeba maiti na abiria wote waligeuka waombolezaji kila gari liliposimamishwa.
Na taarifa za hivi punde kutoka kwa kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Fortunatus Musilim amesema idadi ya waliofariki dunia imeongezeka kutoka 7 mpaka kufikia 9.
My Take:
Gari ikisafirisha maiti huwa inapewa vibali na kuna nyaraka za kusafiri nazo,JE ZILIHAKIKIWA?, Lakini je Gari yenye maiti inaruhusiwa kukimbia zaidi ya mwendo halali?
Jeshi la polisi msikwepe hili lawama.
====
Watu Tisa wamefariki dunia huku wengine 23 kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupinduka katika eneo la Oil Com Manispaa ya Morogoro.
Ajali hiyo imehusisha magari matatu gari la Abiria Toyota Coster yenye namba za usajiri T686 DUK, iliyokuwa ikitokea Dar es salaam kuelekea Mbeya, Gari ndogo aina ya Crester yanye namba za usajili T563 ASA pamoja na Lori la Mizigo kampuni ya Dangote.
Hata hili linahitaji katiba mpya ?Nina uhakika iyo coaster nizile tunazitumia wasafiri wa usiku kwenda mkoani kufata mazao,last week walisema SUMATRA wapo mikese gar ikipita na abiria faini nikuanzia 250,000 kuendelea.
Hii imesababisha madereva kufanya udanganyifu kua wanabeba maiti ili waweze kupita kwenye kizuizi cha sumatra...
Nchi yetu wote jamani,tuijenge pamoja
Waweke kibali mtu analipia let say tsh 20,000/ anapakia abiria, kingekua peas zinaingia serekalini na wananchi tunasafiri kwa Raha kwa wakati. Nijuavyo kwa siku hukosi it mpaka 80 zinapakia abiria, wangekua wanalipa kibali 10,000 au 20,000/ kwa mwaja serikali ingekusanya kiasi gani? Na vijana kujipatia ujira halali?View attachment 1826436
Basi linadaiwa kusababisha ajali jana mkoani Morogoro lilibeba mashada ya maua, dereva aliposimamishwa kwa mwendo kasi alidai Wanawahi Msibani
Taarifa za kuaminika kutoka kwa abiria ni kuwa gari hilo halikubeba maiti na abiria wote waligeuka waombolezaji kila gari liliposimamishwa.
Na taarifa za hivi punde kutoka kwa kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Fortunatus Musilim amesema idadi ya waliofariki dunia imeongezeka kutoka 7 mpaka kufikia 9.
My Take:
Gari ikisafirisha maiti huwa inapewa vibali na kuna nyaraka za kusafiri nazo,JE ZILIHAKIKIWA?, Lakini je Gari yenye maiti inaruhusiwa kukimbia zaidi ya mwendo halali?
Jeshi la polisi msikwepe hili lawama.
====
Watu Tisa wamefariki dunia huku wengine 23 kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupinduka katika eneo la Oil Com Manispaa ya Morogoro.
Ajali hiyo imehusisha magari matatu gari la Abiria Toyota Coster yenye namba za usajiri T686 DUK, iliyokuwa ikitokea Dar es salaam kuelekea Mbeya, Gari ndogo aina ya Crester yanye namba za usajili T563 ASA pamoja na Lori la Mizigo kampuni ya Dangote.
Nenda kamfufueIngekuwa enzi za JPM, haya mauzauza yasingetokea, nawaambieni mapema!!!
Kwa sababu alikuwa anakaa na madereva na kuwafundisha uendeshaji? Stupid!😝😝😝😝Ingekuwa enzi za JPM, haya mauzauza yasingetokea, nawaambieni mapema!!!
Exactly,hizo gari zinaitwa "hakuna kulala"Mimi nilishaacha kupanda,maana speed ndogo ni 140km/hr.Siku 1 ilitaka ituue kona za Iyovi (Mikumi kwa mbele) kama unaelekea Iringa.Poleni wafiwaNina uhakika iyo coaster nizile tunazitumia wasafiri wa usiku kwenda mkoani kufata mazao,last week walisema SUMATRA wapo mikese gar ikipita na abiria faini nikuanzia 250,000 kuendelea.
Hii imesababisha madereva kufanya udanganyifu kua wanabeba maiti ili waweze kupita kwenye kizuizi cha sumatra...
Nchi yetu wote jamani,tuijenge pamoja
Ingekuwa enzi za JPM, haya mauzauza yasingetokea, nawaambieni mapema!!!
na pengine angepiga marufuku hii ajali isitangazwe na chombo chochote kile..Wakat wa jpm kuna upumbavu mwingi kuliko huo sema aliwalisha wajinga sumu wakamuona ni Mungu mtu !!! Kamfufueni kwa msaada wa gwajima
Zile gari especially za Mbeya zinamwendo zaidi ya Kosta ya magazeti. Abiria wajinga wanazipenda maana Ni Bei poa na unafika Mbeya mapema asbh, unamaliza shughuli zako jioni mnageuza.Basi abiria waliyokuwemo ndani nao wazembe
Ova
Sasa mwendakuzimu amebaki na nani huko aliko?Mama samia kafungulia had wachawi wanyonya damu, kazi iendelee
sio kweli ni nane msamvu mita chache toka walipoungua watuMoro, mikese
Gari inayoenda msibani ni lazima ibebe maiti? Hawa walikuwa wanajichuria msiba, wakijiona ni wajanja.View attachment 1826436