Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,328
- 5,270
Hizo Costa napenda Sana kuzitumia kwenda Moshi ,ila wanapakia abiria kwa kujificha ficha Sana ,sikujua Kama wanawakimbia Sumatra ,kwani Ni kosa kusafisha abiria usiku ?Nina uhakika iyo coaster nizile tunazitumia wasafiri wa usiku kwenda mkoani kufata mazao,last week walisema SUMATRA wapo mikese gar ikipita na abiria faini nikuanzia 250,000 kuendelea.
Hii imesababisha madereva kufanya udanganyifu kua wanabeba maiti ili waweze kupita kwenye kizuizi cha sumatra...
Nchi yetu wote jamani,tuijenge pamoja