Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,705
- 40,999
Upinzani huwa wanawatumia hawa, hata boda boda, ni shida tupu.Wafanyabiashara ndogo ndogo wamevamia sana barabara na ni hatari sana kwa maisha yao,mbona wakifanya sehemu za sokoni zilizotengwa watu wataenda tu bila wasiwasi? Siasa nyingine ni upuuzi.