Ajali Mlimani City: Yadaiwa watu watatu wamefariki

Pole kwa wafiwa,ila hii changamoto ya kuruhusu machinga kupanga barabarani mizigo hizi ajali hazitaweza kuisha saizi hata watembea kwa miguu hakuna njia
 
Waendesha malory wengi wako mwendo kasi sana. hapo mliman city kuna taa mbili za barabara bado mbele kuna njia ya mzunguko ila magari yanavyo pitaga hutaamini ni sehem ambayo kuna njia za wapita kwa miguu(zebra)
Hapo ndo utashangaa, kama siyo bangi na viroba basi ni makafara
 
Ni kweli hilo ni tatizo.
Sasa kuliko kwaanika barabarani na kukoswakoswa na magari bora mipango ifanywe sehemu za viosk mji mxima.
vioski miji mzima ni gharama mno, tena kwa miji yote, serikali haitaweza, hela hiyo, pia machinga wasingekaa kwenye hivyo vioski, mara nyingi serikali imejaribu kuwatengea masoko yao ila hawaendi huko, machinga wanataka kupanga barabarani kabisa wanakopita watu wakiamini ndio watauza sana
si unakumbuka Machinga Complex ilivyokuwa?
 
Back
Top Bottom