Jana mwendo kasi limeua shekilango kwenye zebla .Basi limefyeka waendesha bodaboda wawili Ilula mabandani asubuhi hii.
Wamekufa papo hapo.
Safari yangu na siku yangu imeharibika asubuhi hii kwa kuona maiti.
Basi limefyeka waendesha bodaboda wawili Ilula mabandani asubuhi hii.
Wamekufa papo hapo.
Safari yangu na siku yangu imeharibika asubuhi hii kwa kuona maiti.
Acha ujinga mkuu.Tulia.
Andika habari vizuri, basi gani, linatokea wapi kwenda wapi n.k.
Kifo ni lazima, hata usipoangalia maiti na wewe siku Moja utakuwa maiti.