Ajali mbaya Ilula: Basi limegonga na kuua waendesha bodaboda wawili

Tulia.

Andika habari vizuri, basi gani, linatokea wapi kwenda wapi n.k.

Kifo ni lazima, hata usipoangalia maiti na wewe siku Moja utakuwa maiti.

Hakika sipendi mtu anayeleta habari nusu nusu ili watu waanze kumuliza maswali,nachukia sana it’s better uache tu
Utakuta mtu anakwambia kuna mtu alikuwa anakuulizia ana shida na wewe unamuuliza nani anakwambia sikumuulize inauzi sana
 
Basi limefyeka waendesha bodaboda wawili Ilula mabandani asubuhi hii.

Wamekufa papo hapo.

Safari yangu na siku yangu imeharibika asubuhi hii kwa kuona maiti.
Hapo Ilula kuna shida gani? Ijumaa iliyopita pia ajali ya lori ilipoteza maisha ya mtu maeneo hayo
 
Pole kwa Wafiwa. Bus gani. Nahisi litakua linatoka Iringa linaelekea Dar.

Ila Bodaboda wanajisahau sana. Mi sio judge ila najua wenye makosa ni boda.
Mabasi siku hizi yamekuwa kama bodaboda pishana nayo kipande cha mbeezi hadi kibaha uone fujo zao
 
Basi limefyeka waendesha bodaboda wawili Ilula mabandani asubuhi hii.

Wamekufa papo hapo.

Safari yangu na siku yangu imeharibika asubuhi hii kwa kuona maiti.
Bodaboda wanajiamini sana kama vile wakigongwa hakuna kinachotokea. Wapumzike wanakostahili
 
Tulia.

Andika habari vizuri, basi gani, linatokea wapi kwenda wapi n.k.

Kifo ni lazima, hata usipoangalia maiti na wewe siku Moja utakuwa maiti.
Mbona unatutisha lakini we mwali.....
 
Mabasi siku hizi yamekuwa kama bodaboda pishana nayo kipande cha mbeezi hadi kibaha uone fujo zao
Nilipanda bus la abood linatoka Dar to Tunduma.

Nilishangaa pale kitonga linaovateki kushoto semi.!
Nikakumbuka ninavyo endeshaga boda yangu navizia kuovateki kushoto.
 
Nilipanda bus la abood linatoka Dar to Tunduma.

Nilishangaa pale kitonga linaovateki kushoto semi.!
Nikakumbuka ninavyo endeshaga boda yangu navizia kuovateki kushoto.
Acha kabisa saivi mabasi yanashindana kijinga anaovatek hata kama kuna magari mbele au kuna kona kali
 
Bodaboda wanajiamini sana kama vile wakigongwa hakuna kinachotokea. Wapumzike wanakostahili
Baadhi ya dereva boda, inaonesha ni wengi wenye fujo kwa sababu pkpk inaendeshwa na vijana wengi, lakn pia wapo madereva wa magari wanaendesha ovyo kuliko hata derev boda.
Wengi hawajui au wanajisahau kuwasha indicator na lafu za kipumbav kibao.
 
Eeh. Niliwaelewa kwa kiasi chake kwa sababu zilizopelekea kuendesha.

Aisee zinatembea mno. Ukute express tena yale yako joint utafurahi. Yaan huo mwendo dah. Abiria alianguka kwneye boda. Mwendokasi akawa anajitahidi kumkwepa lkn wapi. Ndo akaenda pasua mpk ubongo. Kijana wa just 25 mpk 27 yrs hv alikua anasafiri maskini
Begi lake likabaki palepale. Boda akakimbia akaacha pikipiki palepale. Mwendokasi akanyoosha aakaenda telekeza basi sijui big brother pale. Acha kbs. Mpk sasa roho inaniuma. Na ni siku 3 zimepita hapohapo shekilango wamegongwa wawili tena.
Ilikua express inatokea mbezi kwenda muhimbili na Ilikua inakimbia balaa sasa pata picha imatoka kumaliza fly over
Inakutana na Boda Boda kakatisha kwenye zebra dah.
 
Ilikua express inatokea mbezi kwenda muhimbili na Ilikua inakimbia balaa sasa pata picha imatoka kumaliza fly over
Inakutana na Boda Boda kakatisha kwenye zebra dah.
Yaan vile vya mbezi vinakimbia balaaa.. yaan dahh. Na kale kamteremko
 
Ilikua express inatokea mbezi kwenda muhimbili na Ilikua inakimbia balaa sasa pata picha imatoka kumaliza fly over
Inakutana na Boda Boda kakatisha kwenye zebra dah.
. ..Hivi hawa Pumbavu huwa wanakimbizia nini? Ili kuwa nini? Barabara wako pee yao? Abiria wao wenyewe, mishahara yako iko pale pale na hawaipati kwa kadri ya maingizo ya siku kama Dala dala... Sasa kasi ni Za nini hadi kuua Watu?
RIP Mrehemu.
 
Yani acha tuu
 
Back
Top Bottom