Bodaboda hawana Haki

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,050
10,493
Leo asubuhi pametokea ajali maeneo ya DIT iliyohusisha basi la Mwendokasi na Pikipiki maarufu Bodaboda sina details za kutosha kuhusu madhara yaliyotokea kwa maana ya majeruhi au kama kuna kifo chochote lakini so far ni ajali mbaya maana time niliyokuwa napita basi la Mwendokasi lilikuwa linapigwa jeki na Pikipiki inatolewa chini ya uvungu mwa basi.

Kila mtu baada ya kuona mazingira yale alikuwa anatoa lawama kwa dereva bodaboda bila hata ya kuwa na picha halisi ya kile kilichotokea mpaka kusababisha ajali.

It's like ajali yoyote itakayohusisha bodaboda basi lawama zote atatupiwa bodaboda huu ni uonevu wa kiwango cha juu sio bodaboda wote hawaobey sheria za barabarani na sio kila dereva wa gari yupo perfect asilimia mia.

Tuheshimu Bodaboda nao ni Binadamu licha ya kuwa na mapungufu yao lakini still wana mema yao kama walivyo Binadamu wengine as long unajua kuendesha Pikipiki inabidi uwe mstari wa mbele kutetea bodaboda maana siku unaweza kuwa kwenye mizunguko yako ukapata mushikeli waka kuhukumu kama wanavyowahukumu bodaboda.
 
kuna muda natamani wizara husika, ama sekta husika zingewapeleka boda boda kujifunza Kigali Rwanda. Kila dereva na abiria lazima avae helmet, na ni wasafiri wawili tuu (dereva na abiria) kwa boda boda

Pia, madereva wa magari akikutwa amelewa ni jela siku 5/7 na fine juu. Wengi hupaki magari na kutumia usafiri wa uma kwenda kwenye burudani
 
Boda boda akili hawana hata kidogo hata kwa mwenye leseni,wao sheria za usalama barabarani haziwahusu,haraka za kwao,taa si kitu,kupita njia isiyo sahihi wao.Sasa unasemaje hawana haki, mengi wanakitaka wenyewe.Mimi lawama kwao,ukiwa dereva njiani utalitambua hili kwa uzuri zaidi 🤔
 
kuna muda natamani wizara husika, ama sekta husika zingewapeleka boda boda kujifunza Kigali Rwanda. Kila dereva na abiria lazima avae helmet, na ni wasafiri wawili tuu (dereva na abiria) kwa boda boda

Pia, madereva wa magari akikutwa amelewa ni jela siku 5/7 na fine juu. Wengi hupaki magari na kutumia usafiri wa uma kwenda kwenye burudani
Pengine inaweza kusaidia.. ila tatizo ni Corruption hapa Nchini mnaweka miongozo watu wanaivunja hakuna anayewajibishwa kwa sababu watu washachukua chao mapema
 
Alikuwa akikatisha barabara ya mwendokasi.
Ile ni Zebra ya watembea kwa miguu. Bro BabaMorgan unajua Bodaboda uwa wanajisahau kwamba wao ni chombo cha moto.

Unakuta wanatembea tunakotembea sisi kwa miguu, wanaenda kinyume na uelekeo wa magari kwenye one way road, hawavai protective gear mtu hajavaa kofia uku kaegesha sendoz, hafu matrafiki washawashindwa kabisa.

Kuna siku nilishuhudia mataa boda kwa boda wamegongana. Wote walikua na makosa waliumia sana. Sasa wakawa wameziba njia baada ya kuanguka. Walishuka vijeba wawili wakazisogeza pikipiki pembeni, wakawabeba mwingine mikono mwingine miguu wakawaweka kando. Wakarudi kwenye magari yao, wakatia gear.
 
hawa boda boda wa dar wana haraka sana kuna siku nimetoroka chuo mkoani nikaenda dar lengo nifike kariakoo nikashuka ubungo nikabageini na boda boda anifikishe apo napotaka kwenda kwa haraka zake akaingia kwe bara bara ya mwendo kasi atujatembea ata mita 500 bus la mwendokas linakuja nyuma mungu tu alisaidia akapata kisehemu cha kuchepukia kama sio ivo ilikua tayar maj yashazid unga
 
Back
Top Bottom