Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,057
Ilula ipi ?!. Ya usukumani au ya uheheni !!Basi limefyeka waendesha bodaboda wawili Ilula mabandani asubuhi hii.
Wamekufa papo hapo.
Safari yangu na siku yangu imeharibika asubuhi hii kwa kuona maiti.
Odhis *