Ajabu; Nimetongozwa na mwanamke mwezangu

Ajabu; Nimetongozwa na mwanamke mwezangu

Nipo Dodoma kibiashara. Nikiwa hapa huwa napenda kula mgahawa mmoja Uhindini unaitwa Chef Asili.

Jana mchana wakati napata lunch, akaja mdada wa umri kati ya 30-34 akakaa meza ya pembeni yangu. Yeye aliagiza wali samaki.

Wakati anaendelea kula, akapita mhudumu wa kiume akamwambia ampe kikaratasi. Alipoletewa, akaandika namba yake ya simu kisha akampa mhudumu aniletee.

Wakati natafakari, ghafla akahamia meza yangu akaanza kunitongoza.


Itaendelea.....
Kwa hiyo akakumenya!?

Haya mambo ya kutuachia hewani na vihadithi vyenu mkome
 
Mleta uzi mwenyewe katulia anasikilizia cheche kwanza zinavyoruka 😹😹

Kuna mmoja walikua wanajiita ma-bff kumbe wanasagana, siku mume wa mmoja wao kawafumania aliwazagamua wote kwa hasira..!!

Siku hizi udugu imekuwa fashoonii ukiona bff nyingi ujue tayari wanatoana cheche..!!
Vipi kwa wanaume wenye ushikaji mno? Ile mwanangu sana, je? 😂😂😂😂😂
 
Kama una uhakika kweli ni mwanamke mwenzako Mkubalie mi nakuja Dodoma wiki hii mwambie muende Lodge mi ntajificha chini ya kitanda alafu mlazimishe mzime taa, akizima taa tunafanya details change mi napanda kitandani we unaingia uvunguni nimalizane nae
 
Nipo Dodoma kibiashara. Nikiwa hapa huwa napenda kula mgahawa mmoja Uhindini unaitwa Chef Asili.

Jana mchana wakati napata lunch, akaja mdada wa umri kati ya 30-34 akakaa meza ya pembeni yangu. Yeye aliagiza wali samaki.

Wakati anaendelea kula, akapita mhudumu wa kiume akamwambia ampe kikaratasi. Alipoletewa, akaandika namba yake ya simu kisha akampa mhudumu aniletee.

Wakati natafakari, ghafla akahamia meza yangu akaanza kunitongoza.


Itaendelea.....
Ww ni Dume
 
Ila Dogo una visa weyee? Waja ndo wanapenda hizi mada, ila unafiki ndo unawabana, Lol
😂😂😂😂😂
Sio nakuona unakimbiza uzi kweli an mpaka huku pm kuna kikao kinaendelea 😂😂😂😂
 
Kipindi cha Mfungo, Chef-Asili hawafungui mpaka muda wa futari
 
Nilipoginduwa demu wangu ni tomboy nilimbana sana mwishowe akanambiya ukweli ,
Alisema ameanza kusagana tangu akiwa boarding school.

Nikambana tena zaidi akasema anahitaji kuacha tabia hyo ndy maana yupo na Mimi kimapenzi.

Nikambana sana akanionyesha baadhi ya wanawake ambao amesha wasaga.,
Ni wasichana warembo haswa.

Àmini maneno yangu yule demu Tomboy alilia sana Kwa uchungu alipogunduwa kwamba nimemla X wake mmoja.
mwishowe penzi lilivunjika rasmi..

Hawa tomboy Wana wivu na mademu zao hatari.
 
Back
Top Bottom