Ajabu; Nimetongozwa na mwanamke mwezangu

Duuuh hapo sasa lakini mi nikawa najua verified member ni mtu na akili zake bana...
Wewe wewe acha tu an nakuta jamaa daah ngoja nitulie ila watu humu unafiki mwingi sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Naomba nidokezee kdg Dogo ake, si unajua napenda ubuyuu, hata PM niambie.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Weeeeh hapana mi sisemagi sis hata kidgo nishawahi ona mnamchamba mtu humu aiseeee nikaogopa mi huwa naskilizaga tuu sichangii kule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Em acha uoga, nidokezeek kdg tuuh.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nipo Dodoma kibiashara. Nikiwa hapa huwa napenda kula mgahawa mmoja Uhindini unaitwa Chef Asili.

Jana mchana wakati napata lunch, akaja mdada wa umri kati ya 30-34 akakaa meza ya pembeni yangu. Yeye aliagiza wali samaki.

Wakati anaendelea kula, akapita mhudumu wa kiume akamwambia ampe kikaratasi. Alipoletewa, akaandika namba yake ya simu kisha akampa mhudumu aniletee.

Wakati natafakari, ghafla akahamia meza yangu akaanza kunitongoza.

Itaendelea.....

Kwani ulishabadili jinsi yako? Nakuuliza kwa sababu nakufahamu kitambo Sana na tulishakutana maeneo ya mbeya mjini. Wewe ni mvulana usituchote akili hapa.
 
Yaani halafu hawaogopi...wanatongoza na wanajua kuhonga kuliko wanaume
Kuna mmoja alihaidi nikimkubalia ananipa card yake ya bank niwe nafanya shopping
Mi mwenyewe nikikupenda nakupa kadi ya benki.

Pesa kitu gani bana, utamu ndo kila kitu
 
Kwani ulishabadili jinsi yako? Nakuuliza kwa sababu nakufahamu kitambo Sana na tulishakutana maeneo ya mbeya mjini. Wewe ni mvulana usituchote akili hapa.
Kumeanza kuchangamka sasa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Majiraniiiii hukuuu, woiiiiiiih
 
Back
Top Bottom